Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Najigalagaza kwenye matope kwa hasira🤣Una ishu gani hapo vi rendra?
NdioUmeulizwaa!
Hili swali linachoma ile mbaya...only the jobless understand howUkiwa jobless halafu mtu akuulize una ishu gani?
Kumbe unakunywa pombe? Huku na glass ya kileo .
inatakiwa aje ata kuchungulia kamamtu unamjua unafungua kama humjui ndo unauliza sio tu hodii jitu linaropoka naniiiiiiiii??Halafu ni mchana kweupe peee mtu anauliza swali kama hilo. Kuna ndugu yangu mmoja kwake wana hii tabia huwa siendi mpaka niwe na sababu ya msingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weka pichaNajigalagaza kwenye matope kwa hasira[emoji1787]
Hio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weka picha
Nawe unaendaje kwa watu bila taarifa?Niende sehemu nipige Hodiiiiii afu mtu aropoke tu we nani ??? Inqniudhi sana
Nitakudunda oohoo!Una miaka mingapi yna?
We kama Mimi. Au Upo wapiUnafanyaje saiv?
Nambie.
Imekuja na upepo wa kisulisuliNamba yangu umetoa wapi??
Imekuja na upepo wa kisulisuli
Wengne wanajua kabsa leo kuna fundi atakuja kwetu lakn ukifka mlangoni au getini utaskia maswali kibaooooo inaudhiNawe unaendaje kwa watu bila taarifa?
Halafu ukiangalia anayeuliza hivyo msichana wa kazi kaja mwezi uliopita hata ukitaja mimi fulani hakujuiinatakiwa aje ata kuchungulia kamamtu unamjua unafungua kama humjui ndo unauliza sio tu hodii jitu linaropoka naniiiiiiiii??
Sipendi maswali ya konda. Unatoa nauli anakuuliza wangapiKatika mazingira yetu tunayoishi au mazingira ya shughuli zetu za kila siku tunakutana watu tofauti ambao wametoka sehemu mbalimbali iwe mikoani au nje ya nchi ambao wamekulia mazingira tofauti.
Kuna watu wanapenda kudadisi vitu ambavyo hawavihitaji au hakuna faida yeyote wanapata ila basi tu na mwengine anakuuliza apate sababu ya kukudharau au ubaguzi.
1.Mimi sipendi mtu aniulize wewe kabila gani. Siku hizi wamebadilisha style wanakuuliza mtu wa wapi?
2.Umeoa hata miezi 3 haijaisha mtu anauliza vipi ndoa ishajibu?
Hayo maswali mi sielewi mtu anauliza ili iweje au anafaidika nini akijua hayo!
Tushare pamoja maswali ya kipumbavu kama haya.
Daaaaa nimetoka kula maharage[emoji23][emoji23][emoji23]