Disc Joker
Member
- Jun 21, 2019
- 41
- 59
Una jero ya karibu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28]Una jero ya karibu ?
Pole sana!Mimi kichwa cha habari yako tu kishanichefua kwa kua sipendi kabisa sentensi inayoishia na alama ya kuuliza.
Duh! Hili lipo kweliUna jero ya karibu ?
Hahahahaaa! Swali lao lingine una watoto wangapi?MCHEPUKO: Mkeo yupo?
Halafu ni mchana kweupe peee mtu anauliza swali kama hilo. Kuna ndugu yangu mmoja kwake wana hii tabia huwa siendi mpaka niwe na sababu ya msingi.Niende sehemu nipige Hodiiiiii afu mtu aropoke tu we nani ??? Inqniudhi sana
Kabisaa!Wewe kabila gani,
Mtu akiniuliza hivyo tu, au hata nikimsikia kwa pembeni akiuliza hivo, namuona ni mtu fulani hivi yuko nyuma sana.
Niende sehemu nipige Hodiiiiii afu mtu aropoke tu we nani ??? Inqniudhi sana
Kabisaa! Ndio hivyo wengi kichwani hamna kitu,upumbavu tuu
1. Unafanya kazi gani?
2. Utaweza kunihudumia kweli? Maana mimi nina shida nyingi sana.