Swali gani hupendi kuulizwa?

Swali gani hupendi kuulizwa?

Wewe kabila gani,

Mtu akiniuliza hivyo tu, au hata nikimsikia kwa pembeni akiuliza hivo, namuona ni mtu fulani hivi yuko nyuma sana.
hasa katika mazingira ya kuhitaji msaada, and then mtu anakurupuka "we kabila gani"
Ukimwambia mimi sina kabila, utasikia, "utakosaje kabila bwana"
Ukimwambia basi mimi msukuma, au mimi mpare au mimi mmasai au mimi mnyatulu,
utamsikia akitaka akusemeshe kwa lugha ya kabila ulilotaja,
Asijue wengine tumezaliwa dar, tumesoma ujerumani,
Mara nyingi tu huwa tunashinda Hong kong kwenye maswala ya kibiashara na jioni tunaenda kupumzika Paris.
Kwahiyo hatujui kimatumbi hata cha kuombea nyapu.

[emoji16][emoji16]
 
Bado mtoto mdogo tuliaaa....
Kuseama ukwelu mie sipendi kuulizwa swali hili na ndugu : "kama mambo ni magumu kuna mganga mmoja atakusaidia"
Nimeapa siku wakijichanganya na mganga wao nawamwagia petrol
Siaminigi upuuzi huu
 
Kuseama ukwelu mie sipendi kuulizwa swali hili na ndugu : "kama mambo ni magumu kuna mganga mmoja atakusaidia"
Nimeapa siku wakijichanganya na mganga wao nawamwagia petrol
Siaminigi upuuzi huu
Ss we unavyoona kuna swali uliloulizwa hapaa.....
 
Ha ha nishakutana na manzi sampuli hiyo eti anauliza umeniandalia nini. Unajua nilichojibu? "Nimejiandaa mimi mwenyewe kukukabili" end of story!!
Demu anakuuliza eti hivi ulinipendea nini.Basi siku akitaka kuja maghetoni anakuuliza eti umeniandalia zawadi gani.Mi akiniuliza hizo maswali huwa najawa gadhabu naenda kushave ndevu zangu ili zikae vizuri
 
Babu yangu mzaa mama ndo sampuli hiyo utasikia "hivi una akili kweli, anamalizia pumbafu mkubwa wewe" aisee ni shida sana!!
mzee wangu kama hujamzoea hukai nae hata siku2 .... Ndo baba sasa hatuna jinsi
 
Babu yangu mzaa mama ndo sampuli hiyo utasikia "hivi una akili kweli, anamalizia pumbafu mkubwa wewe" aisee ni shida sana!!
Hapo bado mama angu uzee unamnyemelea humjamkuta siku kichwa kiko "No signal" unaweza kuchambuliwa kutwa nzima kisa umemsalimia mtu tu, Ataanza unamsalimia wa nini mbona yeye hakusalimii aisee utatafuta kwa kwenda halafu anaongea huku anatembea kama anahubiri😀 sasa usiombe na hilo jambo na mumewe asapoti, kosa useme "kwani mama mbona......" kabla hujamaliza umeuwasha moto
 
Nadhani kile wanasema umri unavyokwenda uwezo wa kupambanua nao unashuka kiko sahihi. Hawa wazee wetu mda mwingine kuepusha shari bora upotee eneo la tukio kwa muda.

Huyo anaesema huku anatembea kama pastor ni noma sana asee
Hapo bado mama angu uzee unamnyemelea humjamkuta siku kichwa kiko "No signal" unaweza kuchambuliwa kutwa nzima kisa umemsalimia mtu tu, Ataanza unamsalimia wa nini mbona yeye hakusalimii aisee utatafuta kwa kwenda halafu anaongea huku anatembea kama anahubiri[emoji3] sasa usiombe na hilo jambo na mumewe asapoti, kosa useme "kwani mama mbona......" kabla hujamaliza umeuwasha moto
 
Wewe kabila gani,

Mtu akiniuliza hivyo tu, au hata nikimsikia kwa pembeni akiuliza hivo, namuona ni mtu fulani hivi yuko nyuma sana.
hasa katika mazingira ya kuhitaji msaada, and then mtu anakurupuka "we kabila gani"
Ukimwambia mimi sina kabila, utasikia, "utakosaje kabila bwana"
Ukimwambia basi mimi msukuma, au mimi mpare au mimi mmasai au mimi mnyatulu,
utamsikia akitaka akusemeshe kwa lugha ya kabila ulilotaja,
Asijue wengine tumezaliwa dar, tumesoma ujerumani,
Mara nyingi tu huwa tunashinda Hong kong kwenye maswala ya kibiashara na jioni tunaenda kupumzika Paris.
Kwahiyo hatujui kimatumbi hata cha kuombea nyapu.
Hahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom