Swali gumu kwa Atheist

Swali gumu kwa Atheist

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,836
Bwana yesu asifiwe wanaJF ,

Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu.

Swali langu nawaachia
Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu) tukikemea Mapepo kwa Jina la Yesu yanatoka ,hii halitoshi kwa nyie kuamini?
 
Bwana yesu asifiwe wanajf ,

swali langu nawaachia
Mbona sisi wakristo tulioshika neno( watakatifu) tukikemea Mapepo kwa jina la yesu yanatoka ,hii halitoshi kwa nyie kuamini ?
Hili nalo ni swali Sasa!? pepo Gani,maombi yenu yameegemea katika Hali ya kufikirika na manafanya mambo katika Hali ya kinadharia zaidi kiasi kwamba ni ngumu kuthibitisha kisayansi juu ya hayo ni mapepo,Kama mna maombi nendeni mhimbili,Bugando na kcm
 
Japo mi si atheist bt hapa hamna hoja.
 
kama hilo jina lingekuwa linaponya kusingekuwa na wagonjwa,hakuna mtu angekubali kwenda hospital akatumie muda na gharama wakati kuna jina akitajiwa tu anatibika!..

acheni makeke na uzwazwa hakuna pepo,nawachukulia wanaoanguka hivyo ni watu wenye matatizo ya afya ya akili na wengine ni maigizo tu!.
 
Bwana yesu asifiwe wanajf ,

Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu.

Swali langu nawaachia
Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu) tukikemea Mapepo kwa Jina la Yesu yanatoka ,hii halitoshi kwa nyie kuamini?
Vipi wale wanaotumia english, jina lina change ? Explanation behind ni ipi yani
 
Hili nalo ni swali Sasa!? pepo Gani,maombi yenu yameegemea katika Hali ya kufikirika na manafanya mambo katika Hali ya kinadharia zaidi kiasi kwamba ni ngumu kuthibitisha kisayansi juu ya hayo ni mapepo,Kama mna maombi nendeni mhimbili,Bugando na kcm
Mzee hapa umejibu kama division foo student
Swali nikwamba mbona mapepo yanatoka na kulia kwa sauti kuu
Masuala ya muhimbili ni kukimbia mada
 
kama hilo jina lingekuwa linaponya kusingekuwa na wagonjwa,hakuna mtu angekubali kwenda hospital akatumie muda na gharama wakati kuna jina akitajiwa tu anatibika!..

acheni makeke na uzwazwa hakuna pepo,nawachukulia wanaoanguka hivyo ni watu wenye matatizo ya afya ya akili na wengine ni maigizo tu!.
Kwanza pole sana kwa kukosa maarifa

Pili kama jina la yesu linatumika kuondoa hizi roho chafu kama zilikuja na magonjwa huondoka pia
Lakini magonjwa ambayo hayasababishwi na roho hizo mzee wahi dawa mapema
 
Back
Top Bottom