FROZEN HEART
Member
- Sep 8, 2024
- 94
- 130
Hivi ndy nilikuwa nasubiria unijibu kuwa YESU ni Mungu. haya swali langu ni hili ikiwa YESU ni Mungu je kipindi YESU amekufa na kwenda kuzikwa ule muda dunia ilikuwa inaendelea kuwepo bila ya uwepo wa mungu, bila ya mamlaka ya mungu Kwasababu mungu amefariki muda huo si ndio maana yake?Hakuna Binadamu yeyote mwenye uwezo wa kuumba hata sisimizi, kitendo cha uwepo wa Yesu kabla ya uumbaji na kuhusika katika uumbaji ni jibu tosha hakika ni Yesu ni Mungu.