Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,625
- 3,307
Masheitwani wanacheza na akili zenuMkuu kabla ya kuandika uzi nimetoka kujaribu hakuna hicho kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masheitwani wanacheza na akili zenuMkuu kabla ya kuandika uzi nimetoka kujaribu hakuna hicho kitu
Mapepo ni nini na unathibitishaje yapo na yanatoka kwa jina la Yesu?Bwana yesu asifiwe wanajf ,
Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu.
Swali langu nawaachia
Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu) tukikemea Mapepo kwa Jina la Yesu yanatoka ,hii halitoshi kwa nyie kuamini?
Hivi kati ya Yesu na Mungu ni nani yupo juu?Kiumbe hai chochote hujua vizuri sana jina la Yesu linavyotiisha bahari ikatulia na nguvu zote za giza.
Isaya 9:6-7.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Unaniita tu lakini maswali ushayajua na mwenyewe ushaanza kuuliza.Ngoja nimuite mwenyekiti mkurugenzi wao mkuu Kiranga aje ajibu hapa.
Najua wapo atheists wengine watakuja kukwambia kwanza uthibitishe uwepo wa hayo mapepo maana hayapo.
Wengine watakuja kusema kuwa hata ukipiga kelele sana ukilitaja jina lolote mfano jina langu Funny boe hayo yanayosadikika kuwa mapepo lazima yatatoka tu.
naam!Unaniita tu lakini maswali ushayajua na mwenyewe ushaanza kuuliza.
Somo ushaelewa, unaitisha quorum tu.
Vizuri nimefurahi sana kusikia unauliza swali kama hili kabla hatujaendelea mbele zaidi unaweza ukathambia YESU NI NANI? MUNGU AU BINADAMU NA ANAMALAKA GANI KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO NA KIMWILI?, ANASIFA ZIPI YESU NA KWANINI ALIKUFA?,Bwana yesu asifiwe wanajf ,
Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu.
Swali langu nawaachia
Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu) tukikemea Mapepo kwa Jina la Yesu yanatoka ,hii halitoshi kwa nyie kuamini?
Ukishajibu tutaendelea kueleweshana mbaka kielewekeVizuri nimefurahi sana kusikia unauliza swali kama hili kabla hatujaendelea mbele zaidi unaweza ukathambia YESU NI NANI? MUNGU AU BINADAMU NA ANAMALAKA GANI KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO NA KIMWILI?, ANASIFA ZIPI YESU NA KWANINI ALIKUFA?,
SOMA Isaya 53 yote. Angalia ilivyokuwa kisa cha Yusufu Bwana ndoto alivyokuwa Kipenzi sana cha roho ya Baba yao kati ya Watoto 12 wakiwemo akina Reuben hadi Ndugu zake 11 walimwonea wivu na kumuuza utumwani baada ya kushindikana kutupwa porini ili auwawe na wanyama wakali alipojitokeza mmojawapo wa Ndugu zake kudai kuwa "ikiwa atatupwa porini akauwawa na wanyama wakali Baba yao ataumia sana rohoni maana alikuwa anampenda sana kuliko Ndugu zake 11". Ndivyo ilivyokuwa kwa Yesu, tangu akiwa katika uungu alikuwa mnyenyekevu na MTAKATIFU hadi alipojitoa nafsi yake kuwa kafara kwa kuteswa na kuuwawa na Watu ili kwa imani yeyote atayemwamini, atayeungama dhambi zake kwa dhati apate utakaso wa damu yake Yesu na kuushinda ulimwengu kwa changamoto zozote ya kimaisha na kuwa na uzima wa milele. Kumbuka Yesu alikuwepo kabla ya na wakati wa uumbaji wa misingi ya dunia, yani alihusika kuumba dunia ila alijishusha kutoa uhai wake (zingatia neno kujitoa uhai) ili awe sadaka kuokoa Wadhambi waliopaswa kuangamia kwa makosa yao wenyewe ila sababu Mungu ni Upendo na mwingi wa rehema, neema na fadhili ilibidi amtoe Mwanaye wa kipekee YESU kama ilivyokuwa kwa Ibrahim na Mwanaye Isaka. Mbali na hapo Yesu hakuwahi kutenda dhambi akiwa duniani hadi alipokufa na kufufuka kisha kupaa kwenda mbinguni, picha halisi ni Mungu Baba "Yehova/Yahweh" mwenyewe ndiye alipendezwa kumpatia Yesu mamlaka makubwa mbinguni na duniani baada ya kukamilisha kazi aliyoagizwa kuifanya duniani alipojishusha katika utakatifu wake "uungu" kuteswa na kuuwawa kuokoa Wadhambi ili yeyote amwaminiye kuwa BWANA na MWOKOZI wake apate kuokolewa maana Yesu ndiye njia ya ukweli na uzima wa milele.Hivi kati ya Yesu na Mungu ni nani yupo juu?
Kwasababu Mileage anayopata Yesu hata aliyemuumba huyo Yesu haipati.
Na muda Mwingi hutokea hata huyo kukaimishwa cheo cha Uungu na Baadhi ya madhehebu.
Hii imekaaje?
Je ni kwa kutokujua au ni mipango?
Hujaniji u swali langu YESU ni nani mungu au binadamu au mnyama au ni malaika ndy nnachokusudiaSOMA Isaya 53 yote. Angalia ilivyokuwa kisa cha Yusufu Bwana ndoto alivyokuwa Kipenzi sana cha roho ya Baba yao kati ya Watoto 12 wakiwemo akina Reuben hadi Ndugu zake 11 walimwonea wivu na kumuuza utumwani baada ya kushindikana kutupwa porini ili auwawe na wanyama wakali alipojitokeza mmojawapo wa Ndugu zake kudai kuwa "ikiwa atatupwa porini akauwawa na wanyama wakali Baba yao ataumia sana rohoni maana alikuwa anampenda sana kuliko Ndugu zake 11". Ndivyo ilivyokuwa kwa Yesu, tangu akiwa katika uungu alikuwa mnyenyekevu na MTAKATIFU hadi alipojitoa nafsi yake kuwa kafara kwa kuteswa na kuuwawa na Watu ili kwa imani yeyote atayemwamini, atayeungama dhambi zake kwa dhati apate utakaso wa damu yake Yesu na kuushinda ulimwengu kwa changamoto zozote ya kimaisha na kuwa na uzima wa milele. Kumbuka Yesu alikuwepo kabla ya uumbaji na wa misingi ya dunia na alihusika kuumba dunia ila alijishusha kutoa uhai wake (zingatia neno kujitoa uhai) ili awe sadaka kuokoa Wadhambi waliopaswa kuangamia kwa makosa yao wenyewe ila sababu Mungu ni Upendo na mwingi wa rehema, neema na fadhili ilibidi amtoe Mwanaye wa kipekee YESU kama ilivyokuwa kwa Ibrahim na Mwanaye Isaka. Mbali na hapo Yesu hakuwahi kutenda dhambi akiwa duniani hadi alipokufa na kufufuka kisha kupaa kwenda mbinguni, picha halisi ni Mungu Baba "Yehova/Yahweh" mwenyewe ndiye alipendezwa kumpatia Yesu mamlaka makubwa mbinguni na duniani baada ya kukamilisha kazi aliyoagizwa kuifanya duniani alipojishusha katika utakatifu wake "uungu" kuteswa na kuuwawa kuokoa Wadhambi ili yeyote amwaminiye kuwa BWANA na MWOKOZI wake apate kuokolewa maana Yesu ndiye njia ya ukweli na uzima wa milele.
Hili nalo ni swali Sasa!? pepo Gani,maombi yenu yameegemea katika Hali ya kufikirika na manafanya mambo katika Hali ya kinadharia zaidi kiasi kwamba ni ngumu kuthibitisha kisayansi juu ya hayo ni mapepo,Kama mna maombi nendeni mhimbili,Bugando na k
Mnyama gani alikuwepo kabla ya na alihusika katika uumbaji wa misingi ya hii dunia, mbona hujasoma hata ujumbe wenyewe kinagaubaga?Hujaniji u swali langu YESU ni nani mungu au binadamu au mnyama au ni malaika ndy nnachokusudia
Yaani kusudi unijibu TU nataka jibu kutoka kwao YESU ni nani mungu au binadamu wa kawaida kama sisiMnyama gani alikuwepo kabla ya na alihusika katika uumbaji wa misingi ya hii dunia, mbona hujasoma hata ujumbe wenyewe kinagaubaga?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ukikemea kwa jina la Mudi au Allah yanakucheka hivi ni kwanini?Bwana yesu asifiwe wanaJF ,
Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu.
Swali langu nawaachia
Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu) tukikemea Mapepo kwa Jina la Yesu yanatoka ,hii halitoshi kwa nyie kuamini?
Hakuna Binadamu yeyote mwenye uwezo wa kuumba hata sisimizi, kitendo cha uwepo wa Yesu kabla ya uumbaji na kuhusika katika uumbaji ni jibu tosha hakika ni Yesu ni Mungu.Yaani kusudi unijibu TU nataka jibu kutoka kwao YESU ni nani mungu au binadamu wa kawaida kama sisi
mku mbona hata mashekhe wenye majini wanatoa mapepoBwana yesu asifiwe wanaJF ,
Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu.
Swali langu nawaachia
Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu) tukikemea Mapepo kwa Jina la Yesu yanatoka ,hii halitoshi kwa nyie kuamini?