Swali gumu kwetu wafia dini tunaoamini kwamba Israel inalindwa na Mungu

Swali gumu kwetu wafia dini tunaoamini kwamba Israel inalindwa na Mungu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Screenshot_20231009-221441_WhatsApp.jpg
 

Attachments

  • IMG-20231009-WA0040.jpg
    IMG-20231009-WA0040.jpg
    30.5 KB · Views: 8
Israel imewahi kupigwa na njaa na kukimbilia Misri kuwa watumwa miaka Mia nne, imewahi kupigwa na babeli na kuuwawa watu wengi , waliobaki walihamishiwa utumwani kwa mamia ya miaka,
Imewahi kupigwa na Rumi, nyumba zote zilibomolewa na, mamilioni ya watu waliuawa na wachache waliobaki walitawanywa dunia nzima ili kuuwa na kufuta kabisa kizazi Cha wayahudi na jina la Israel, warumi ndio waliobadili jina la Israel na kuiita palestina,

Israel imepigwa na kutawaliwa na mataifa mengi ikiwapo ninawi, wafilisti, wasyria, wagiriki n.k wamefanyiwa maangamizi ya halaiki na wajerumani

Katika vipigo vyote washangiliaji na wazomeaji wakubwa walikuwa ni waarabu na wapambe wao

Hatimae mwisho, baadae ya miaka 2000 ya kusambazwa duniani, kuuwawa na kufutwa kabisa, taifa limerudi palepale na jina lile lile Israel.

Ni taifa pekee duniani lililo pita kwenye Moto uteketezao, na uangamizao bila kuteketea. Hakuna taifa linaloweza kupitia kwenye historia Kama hiyo na likabaki salama
 
Kabla cja soma yaliyomo ndani rekebisha
[emoji116]
WAFUA DINI[emoji777]️
WAFIA DINI[emoji736]️
 
na kuwa wanalindwa na Mfumo imara wa Iron Dome system jee mabom ya Hamas yanaingiaje? Israel wao ndio wa control kila kinachoingia Gaza. Vp Vifatu na Silaha nzito zimeingiaje Gaza? watu wanajazwa maujinga tu
 
Juzi wamepigwa na wanamgambo.Wametandikwa sawa sawa.
Hapana, wameguswa tu, nusu ya wayahudi wamewahi kuchinjwa na warumi, nyumba zote kuchomwa Moto, masalia kusambazwa duniani, lakini leo Rumi haipo, Israel Ipo, na itakuwepo hadi kiyama
 
Mungu huyo Hayupo.

Ni ubishi wa wafia dini tu, kushindwa kukubaliana na ukweli huu.
 
Umeandika kweli na ukweli unauma. Hutapata wachangiaji huu uzi.Mungu yupo,anawalinda binadamu wote bila ubaguzi.
Mungu huyo kama anawalinda watu wote bila ubaguzi, Alishindwaje kuwanusuru na kuwaokoa waisraeli wasishambuliwe na wapalestina?

Mungu gani ana acha watoto wadogo kama hawa hapa pichani chini, wana uwawa na kujeruhiwa bila hatia yeyote ile?

Mungu huyo analinda watu kweli au ana sinzia?
FB_IMG_1696846075249.jpg
 
Yupo

Luka 6:12
Ikawa katika siku hizo Yesu alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
Mkuu,

Biblia ni Hekaya hizo, Hadithi za kusadikika na kufikirika sawa na riwaya za joka la Mdimu.

Yesu, Mungu Hawapo.

Ni mawazo ya kufikirika tu. Imaginations just an illusion.

Biblia ni stori za nchi za mashariki ya kati huko. Ndio maana kwenye Biblia hakuna Maisha ya waafrika watanzania,wakenya, wanyarwanda, wasudani,wa Angola, wa Nigeria,waganda, wasouth Afrika n.k

Yani Biblia ni stori za waisraeli wa huko mashariki ya kati tu.

Sasa jiulize wewe mwafrika mtanzania kwa nini Biblia hiyo haina Historia yako?

Biblia ni riwaya tu
 
Back
Top Bottom