britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Tunazungumzia kumuondoa Jaji mkuu, mara mkaguzi mkuu, mara waziri mkuu haya uwa yanajadiliwa sana,
Tumeona Mzee Ndugai kwa siku za karibuni akifanya mambo kwa mazoea, na pengine kudhania Bunge ni mali yake kama jamaa fulani anayedhani nchi ni mali yake hii anawafanyia wananchi kwanini wabunge wa kawaida wasiwahi wakamuondoa Kwa taratibu zinazojulikana mpaka tusubiri aje kutimuliwa na Magufuli?
Nina uhakika mwaka 2020 Viongozi wengi wataacha kumuheshimu Magufuli kwakuwa kutakuwa na safu za kupanga uongozi ujao! Nina uhakika Ndugai ameota sana mapembe atakuja kuingia kumi na nane ya Namba moja atolewe Kama Jumbe na Zanzibar atauzurishwa badala ya kujiuzuru! Hafiki 2025 Maana tamaa za uongozi ujao zitamponza sana !
Kwetu sisi wananchi tunaoumia sasa na maamuzi ya bunge lake
Je kumwondoa Ndugai tunafanyaje?
Britanicca naishia hapa nisiitwe Dodoma kama mwenzangu Mung’amua ukoo wa Kato Paskale
B.