Swali: Hivi taratibu zipi za kumuondoa spika wa Bunge kwenye kiti kama hafai?

Haha mkuu habari ya ijumaa kuu? Leo nyama haturuhusiwi kula,

Tuje kwenye suala kuu, mkuu usemalo ni kweli, lazima uulize swali kujua mitazamo ya watu mbali mbali
Mkuu wangu umekumbuka huku uliniuliza swali fulani
 
Tunazungumzia kumuondoa Jaji mkuu, mara mkaguzi mkuu, mara waziri mkuu haya uwa yanajadiliwa sana,

Tumeona Mzee Ndugai kwa siku za karibuni akifanya mambo kwa mazoea, na pengine kudhania Bunge ni mali yake kama jamaa fulani anayedhani nchi ni mali yake hii anawafanyia wananchi kwanini wabunge wa kawaida wasiwahi wakamuondoa Kwa taratibu zinazojulikana mpaka tusubiri aje kutimuliwa na Magufuli?

Nina uhakika mwaka 2020 Viongozi wengi wataacha kumuheshimu Magufuli kwakuwa kutakuwa na safu za kupanga uongozi ujao! Nina uhakika Ndugai ameota sana mapembe atakuja kuingia kumi na nane ya Namba moja atolewe Kama Jumbe na Zanzibar atauzurishwa badala ya kujiuzuru! Hafiki 2025 Maana tamaa za uongozi ujao zitamponza sana !

Kwetu sisi wananchi tunaoumia sasa na maamuzi ya bunge lake
Je kumwondoa Ndugai tunafanyaje?

Britanicca naishia hapa nisiitwe Dodoma kama mwenzangu Mung’amua ukoo wa Kato Paskale

B.
Hivi majamaa ninyi mnawazaga je katolewa japo si Kwa Magufuli katolewa na Samia
 
Alitolewa kihuni japo ana makosa
 
Mkuu Britannica, kiukweli nimependa maswali yako, ungekuwa Mwandishi wa Habari, you would have been the best.

Waandishi wazuri sio wanaouliza vitu wasivyo vijua, bali hufanya homework yao vizuri, na kuuliza vitu wanavyovujua ili tuu kupata uthibitisho.

Hili ndilo swali lako katika bandiko hili, unauliza as if hujui.

Thanks for this.
P
Haki
 
Inawezekana imefika wakati wake wa kurudi india ku boost lakini hatujui ndo maana kuna mambo anafanya alafu yeye baadae anajishangaa tena .
Jana nimemwona bungeni anajaribu kuchekesha alafu anacheka yeye mwenyewe kuliko wale anaowachekesha
Hu
 
Kweli
 
Nilikiwa nauliza tu
 
Inawezekana imefika wakati wake wa kurudi india ku boost lakini hatujui ndo maana kuna mambo anafanya alafu yeye baadae anajishangaa tena .
Jana nimemwona bungeni anajaribu kuchekesha alafu anacheka yeye mwenyewe kuliko wale anaowachekesha
Haha
 
Back
Top Bottom