britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kuna ka ukweli fulaniCCM wakitaka aondoke ataondoka, ila CCM wakitaka awepo atakuwepo. Katika hili tumewaachia wenyewe CCM maana lipo wazi juu ya uwezo wa spika wetu lakini kwa sababu kwa wenzetu CCM kwanza Tanzania baadaye litapita tu na Spika ataendelea na kazi ..
Weka hadi ka clipInawezekana imefika wakati wake wa kurudi india ku boost lakini hatujui ndo maana kuna mambo anafanya alafu yeye baadae anajishangaa tena .
Jana nimemwona bungeni anajaribu kuchekesha alafu anacheka yeye mwenyewe kuliko wale anaowachekesha
Mi nimeona live ngoja nitafute clipWeka hadi ka clip
Mkuu Britannica, kiukweli nimependa maswali yako,
Haha mkuu habari ya ijumaa kuu? Leo nyama haturuhusiwi kula,Mkuu Britannica, kiukweli nimependa maswali yako, ungekuwa Mwandishi wa Habari, you would have been the best.
Waandishi wazuri sio wanaouliza vitu wasivyo vijua, bali hufanya homework yao vizuri, na kuuliza vitu wanavyovujua ili tuu kupata uthibitisho.
Hili ndilo swali lako katika bandiko hili, unauliza as if hujui.
Thanks for this.
P
Huyo wala sio kazi. Ni kupitisha kura tu.
Eti si kaziSio kazi?
ndio maana kuna mfumo wa vyama vya siasa mkuu. Watu fulani walioshika hatamu za nchi hawataki kabisa habari ya mgombea binafsi unafikiri ni kwa sababu gani
Tusubiri
Inawezekana imefika wakati wake wa kurudi india ku boost lakini hatujui ndo maana kuna mambo anafanya alafu yeye baadae anajishangaa tena .
Jana nimemwona bungeni anajaribu kuchekesha alafu anacheka yeye mwenyewe kuliko wale anaowachekesha
Haha mkuuMkuu Britannica, kiukweli nimependa maswali yako, ungekuwa Mwandishi wa Habari, you would have been the best.