britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
-
- #21
Mkuu wangu umekumbuka huku uliniuliza swali fulaniHaha mkuu habari ya ijumaa kuu? Leo nyama haturuhusiwi kula,
Tuje kwenye suala kuu, mkuu usemalo ni kweli, lazima uulize swali kujua mitazamo ya watu mbali mbali
Hivi majamaa ninyi mnawazaga je katolewa japo si Kwa Magufuli katolewa na SamiaTunazungumzia kumuondoa Jaji mkuu, mara mkaguzi mkuu, mara waziri mkuu haya uwa yanajadiliwa sana,
Tumeona Mzee Ndugai kwa siku za karibuni akifanya mambo kwa mazoea, na pengine kudhania Bunge ni mali yake kama jamaa fulani anayedhani nchi ni mali yake hii anawafanyia wananchi kwanini wabunge wa kawaida wasiwahi wakamuondoa Kwa taratibu zinazojulikana mpaka tusubiri aje kutimuliwa na Magufuli?
Nina uhakika mwaka 2020 Viongozi wengi wataacha kumuheshimu Magufuli kwakuwa kutakuwa na safu za kupanga uongozi ujao! Nina uhakika Ndugai ameota sana mapembe atakuja kuingia kumi na nane ya Namba moja atolewe Kama Jumbe na Zanzibar atauzurishwa badala ya kujiuzuru! Hafiki 2025 Maana tamaa za uongozi ujao zitamponza sana !
Kwetu sisi wananchi tunaoumia sasa na maamuzi ya bunge lake
Je kumwondoa Ndugai tunafanyaje?
Britanicca naishia hapa nisiitwe Dodoma kama mwenzangu Mung’amua ukoo wa Kato Paskale
B.
Katoka bwana na hakufika kweli 2025Tusubiri
Kumbe majibu yalipatikana ndani ya tendo husika heko JFTupe hata majibu mwanasheria wetu usituache hivi hivi..
Alitolewa kihuni japo ana makosaTunazungumzia kumuondoa Jaji mkuu, mara mkaguzi mkuu, mara waziri mkuu haya uwa yanajadiliwa sana,
Tumeona Mzee Ndugai kwa siku za karibuni akifanya mambo kwa mazoea, na pengine kudhania Bunge ni mali yake kama jamaa fulani anayedhani nchi ni mali yake hii anawafanyia wananchi kwanini wabunge wa kawaida wasiwahi wakamuondoa Kwa taratibu zinazojulikana mpaka tusubiri aje kutimuliwa na Magufuli?
Nina uhakika mwaka 2020 Viongozi wengi wataacha kumuheshimu Magufuli kwakuwa kutakuwa na safu za kupanga uongozi ujao! Nina uhakika Ndugai ameota sana mapembe atakuja kuingia kumi na nane ya Namba moja atolewe Kama Jumbe na Zanzibar atauzurishwa badala ya kujiuzuru! Hafiki 2025 Maana tamaa za uongozi ujao zitamponza sana !
Kwetu sisi wananchi tunaoumia sasa na maamuzi ya bunge lake
Je kumwondoa Ndugai tunafanyaje?
Britanicca naishia hapa nisiitwe Dodoma kama mwenzangu Mung’amua ukoo wa Kato Paskale
B.
HowMajority seldom act rightly
HakiMkuu Britannica, kiukweli nimependa maswali yako, ungekuwa Mwandishi wa Habari, you would have been the best.
Waandishi wazuri sio wanaouliza vitu wasivyo vijua, bali hufanya homework yao vizuri, na kuuliza vitu wanavyovujua ili tuu kupata uthibitisho.
Hili ndilo swali lako katika bandiko hili, unauliza as if hujui.
Thanks for this.
P
HuInawezekana imefika wakati wake wa kurudi india ku boost lakini hatujui ndo maana kuna mambo anafanya alafu yeye baadae anajishangaa tena .
Jana nimemwona bungeni anajaribu kuchekesha alafu anacheka yeye mwenyewe kuliko wale anaowachekesha
KweliMkuu Britannica, kiukweli nimependa maswali yako, ungekuwa Mwandishi wa Habari, you would have been the best.
Waandishi wazuri sio wanaouliza vitu wasivyo vijua, bali hufanya homework yao vizuri, na kuuliza vitu wanavyovujua ili tuu kupata uthibitisho.
Hili ndilo swali lako katika bandiko hili, unauliza as if hujui.
Thanks for this.
P
Nilikiwa nauliza tuMkuu Britannica, kiukweli nimependa maswali yako, ungekuwa Mwandishi wa Habari, you would have been the best.
Waandishi wazuri sio wanaouliza vitu wasivyo vijua, bali hufanya homework yao vizuri, na kuuliza vitu wanavyovujua ili tuu kupata uthibitisho.
Hili ndilo swali lako katika bandiko hili, unauliza as if hujui.
Thanks for this.
P
HakikaSpika wa hovyo kabisa, angefaa kuwa mfugaji wa nyoka
HahaInawezekana imefika wakati wake wa kurudi india ku boost lakini hatujui ndo maana kuna mambo anafanya alafu yeye baadae anajishangaa tena .