Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Wewe sio mwana WA nuru, waache wenye nuru yao wacommentsentensi moja tu, 'njoo geto'😂
Tena wana sera kuliko wasiookok
Kwenye kutongozaSera gan tena
Au umejaribu ukaachwa kwenye mataa
Wazee wa kanisa tu,wazee wenu walikua hawahusiswi kwenye maswala ya ndoa zenu?Enyi Wana WA Nuruni
Naomba mje mnisaidie hii kitu
Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka?
Maana me nimetongozwaga zamani,
Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa Kuongea
Na dating NI mchana sehemu ya public
Hamna Ku kiss wala ku du
Sasa sijui skuhizi mnatongozanaje
Naombeni kujua jamaa
Mmmh uo NI urongoooKwenye kutongoza
Sikuizi unaenda tu gheto hakuna public wala nini
Wazee WA kuwazaa wanaambiwa mwishoni buana wakitaka kuleta mahariWazee wa kanisa tu,wazee wenu walikua hawahusiswi kwenye maswala ya ndoa zenu?
Et wenye nuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe sio mwana WA nuru, waache wenye nuru yao wacomment
Wewe tukutane kwenye nyuzi za waenda kuzimu
Kwa mtu mwenye hofu ya Mungu ya kweli hufuata utaratibu ambao huweza kutofautiana kidogo.Lakini baada ya kijana kumpenda binti na kujiridhisha atamwomba binti appointment na mara nyingi ni Kanisani sehemu ya wazi ili kumwambia ombi lake la kutaka awe mwenzi wake,wengine hukutana kwa mzee wa Kanisa.Baada ya kukubaliwa ombi lake huenda kwa Mchungaji,wanaitwa taratibu za kujitambulisha na mahari hufanyika pamoja na kupima afya.Enyi Wana WA Nuruni
Naomba mje mnisaidie hii kitu
Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka?
Maana me nimetongozwaga zamani,
Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa Kuongea
Na dating NI mchana sehemu ya public
Hamna Ku kiss wala ku du
Sasa sijui skuhizi mnatongozanaje
Naombeni kujua jamaa
Mmmh uo NI urongooo
AiseeSiku iz hao walokole ndy Hawa Hawa unaowauliza humu Hilo swali lako.
Amin nakwambiaAmini nakwambia huwa hatutongozi bali tunakula kimasihara tukimaliza tunasema shetani alipitia ila tunarudia tena na tena na tena.
Huyo anaenda kuzimu awapishe wenye nuru zaoEt wenye nuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeulizwa habari ya kutongoza sio magonjwa yatokanayo na ngono zembeWalokole wakiwa kwenye kwaya , mmoja akipata gono ni kwaya nzima , kila mmoja ana jitibu kimya kimya maisha yanaendelea.
Kwahiyo. Utaratibu WA zamani basi haujabadilika sio?Kwa mtu mwenye hofu ya Mungu ya kweli hufuata utaratibu ambao huweza kutofautiana kidogo.Lakini baada ya kijana kumpenda binti na kujiridhisha atamwomba binti appointment na mara nyingi ni Kanisani sehemu ya wazi ili kumwambia ombi lake la kutaka awe mwenzi wake,wengine hukutana kwa mzee wa Kanisa.Baada ya kukubaliwa ombi lake huenda kwa Mchungaji,wanaitwa taratibu za kujitambulisha na mahari hufanyika pamoja na kupima afya.
Japo siku za leo wenye kula kimasihara na kuonjana kabla ya ndoa ndio wako kila kona.