Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

Enyi Wana WA Nuruni
Naomba mje mnisaidie hii kitu

Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka?

Maana me nimetongozwaga zamani,

Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa Kuongea

Na dating NI mchana sehemu ya public

Hamna Ku kiss wala ku du

Sasa sijui skuhizi mnatongozanaje

Naombeni kujua jamaa
Leo naona haujaja na ule mtindo wako wa mazungumzo
 
Back
Top Bottom