Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Niliyo ya shuhudia mapenzi ni kitu Cha AJABU sana na mpaka Sasa nayastaajabia....Enyi Wana WA Nuruni
Naomba mje mnisaidie hii kitu
Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka?
Maana me nimetongozwaga zamani,
Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa Kuongea
Na dating NI mchana sehemu ya public
Hamna Ku kiss wala ku du
Sasa sijui skuhizi mnatongozanaje
Naombeni kujua jamaa
Niliwai kupendwa na mdada wakilokole mshika dini haswa kilicho tuunganisha ni kazi tuka click hatukua tunafahamiana vyema ila tulikua kama watu tuliofahamiana miaka Mingi sana....
Mapenzi hayana ulokole hayana dini,rangi,kabila Wala lugha still nayashangaa mapenzi kupitia mlokole yule alipenda kusema am 4 real napenda izo Midomo (lips) zako napenda hayo macho yako......