Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Hamna Ku kiss wala ku du ๐
๐
๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmecheka sana๐ ๐ ๐Ukiokoka nimwendo wa Kifo Cha mende...mambo ya bjb sijui mbuzi kagoma,sijui doggy style sijui popo kanyea mbingu hayana tija Wala hayampendezi maulana....
Mm ni mwanaume tena mwanaume wa shoka kutoka mkoa wa mara tarime
Mkuu kucheka ni afya ๐คฃ๐คฃโบ๏ธโบ๏ธโบ๏ธ๐ค๐ค๐๐๐คฉ๐คฉ๐คฉNmecheka sana๐ ๐ ๐
Me nadhani Una woga mwingi na mashakaUko sahihi kabisa ila mabinti na wakiume wako less hatari yaani ukizidisha ulokole mwingi hakutaki anaona mtasumbuana ndani ya ndoa
Yaani wanataka mchangamko na ukichangia utandawazi na uwepo Wa Simu hizi aisee charting ni nyingi
Baby,honey nyingi msipokuwa makini na kuvuana Nguo ndio kunaanzia huko (videocall,sexcharting)
Na mkiendelea tu tunda linaliwa kimasikhara kabla ya ndoa
Na unaweza ukajitunza kusubiri ndoa kumbe kale ka muda kauchumba kuna mwingine anaendelea kuzagamua au kuzagamuliwa huko
Ila mkikutana ulokole mwingi kama mtakatifu Fulani hivi
Sasa siku unakuja kuoa unashanga kimetumika kimetepeta wee sasa unajiuliza mwaka watano huu na mjua ni mlokole safi kabisa
Maana yake hata kama kilitumika kabla ya kuokoka Kwa miaka hii miwili au mitatu ilibidi kinywee kidogo
Sasa Kwa hili shimo hata lidhika na Mimi sita ridhika
Na ndio mwanzo Wa majanga ya ndoa
Na wala hamna anaekuja mnajifariji tuPunchline hii kijana
Yeah, God created everything we see lakini msukumo wa kimaumbile wa viumbe hai ni uncontrolable
Leo nipo kwenye mtoko WA vijana kigamboni tupo na Mchungaji KimaroNiko na maombi leu kuanzia saa moja usiku na kuendelea.
Nakuomba mpendwa ujumuike nami kwani bwana ametuchagua siku ya leo kwenye maombi haya.
Kwahiyo unafanya KAZI Kwa shetani au Kwa Mungu aliekuumba?Tuanze na wanakwaya.
Kuna mpendwa humu alianzisha uzi usiku akiomba ushauri baada ya kumnywesha mwanakwaya mpendwa mwenzake wakajikuta on bed wanakoroma
Wanakwaya wengi ndo wanaongoza kwa masikhara katika kulitungua tunda.
Vijana wa kanisani wanaiga kwa wanakwaya na ukumbuke shetani ndo kiumbe wa kwanza kuimba
Kwahiyo hapo umejibu swali lipi??Mimi sio mlokole ila nishawala wadada wakilokole wengi tu wengine mpaka vyombo wanapiga nilichoka sana ila ukimkuta kwenye maombi na pambio utajiona kama shetani mdogo ila pretenders ni wengi sana na 90% ya wanawake nilodate nao ni walokole mpaka nilie nae sasa ila uyu naweza oa ila nampa muda bado nae.
Ndio mpaka ndoaHamna Ku kiss wala ku du ๐ ๐ ๐
Sasa unacheka nini, me sioni anything funny about itNmecheka sana๐ ๐ ๐
NI upuuzi mtupuMkuu kucheka ni afya ๐คฃ๐คฃโบ๏ธโบ๏ธโบ๏ธ๐ค๐ค๐๐๐คฉ๐คฉ๐คฉ
Sasa hapo umejibu swali lipi??Ukiokoka nimwendo wa Kifo Cha mende...mambo ya bjb sijui mbuzi kagoma,sijui doggy style sijui popo kanyea mbingu hayana tija Wala hayampendezi maulana....
Mm ni mwanaume tena mwanaume wa shoka kutoka mkoa wa mara tarime
Sawa mkuu nenda Kwa mlokole deep uone kama atakupa popo kanyea mbingu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃSasa hapo umejibu swali lipi??
Maana naona unatuletea sarakasi za kuzimu kanisani
NshajibuKwahiyo unafanya KAZI Kwa shetani au Kwa Mungu aliekuumba?
Kwani uliokokea kwenye mwaya au Mungu WA Mbinguni alikuita Kwa neema yake
Usitafute sababu za kipuuzi, jibu swali uliloulizwa
Kwahy una Du kifo cha mende Tuu ?Sasa unacheka nini, me sioni anything funny about it
NI mwamba umejaa mapepo unaona hayawezekani ila Kwa Mungu yote yanawezekana
Kazi kweli kweli ๐ ๐Ndio mpaka ndoa
Sio kazi NI Mungu ameagizaKazi kweli kweli ๐ ๐
Sasa unataka nikwambie nimedo vipi na mume wangu for the past 30yrs ikusaidie nini??Kwahy una Du kifo cha mende Tuu ?
Hujajibu, umetujazia commentNshajibu