Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

Sawa mkuu nenda Kwa mlokole deep uone kama atakupa popo kanyea mbingu🤣🤣🤣🤣
Sihitaji popo wala popo bawa
Nataka tumtumikie Mungu hapa Duniani na kufika Mbinguni
Kwenye Biblia kuna style nyingi za tendo la ndoa hio ya popo cha mtoto
 
Enyi Wana WA Nuruni
Naomba mje mnisaidie hii kitu

Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka?

Maana me nimetongozwaga zamani,

Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa Kuongea

Na dating NI mchana sehemu ya public

Hamna Ku kiss wala ku du

Sasa sijui skuhizi mnatongozanaje

Naombeni kujua jamaa
Kwani wewe umeolewa au bado?tuanze kukutongoza wewe ujue mtongozo upoje
 
Enyi Wana WA Nuruni
Naomba mje mnisaidie hii kitu

Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka?

Maana me nimetongozwaga zamani,

Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa Kuongea

Na dating NI mchana sehemu ya public

Hamna Ku kiss wala ku du

Sasa sijui skuhizi mnatongozanaje

Naombeni kujua jamaa

Hiyo kitu haina cha ulokole wewe.
Nimeshafanya majaribio kadhaa nikakuta hakuna cha ulokole wala nini.
Mdada wa kushinda kanisani, akiwa na shughuli zake kama dukani au biashara zingine basi pembeni kuna bible muda wote anasoma bible. na redio ya kanisani kwao anasikiliza mahubiri na nyimbo. Ila mkichat whatssap ni maharagwe ya mbeya maji mara moja unabeba. Nimefanya hivyo kwa binti hata idadi sijui ila baadaye naamuaga tu kuacha kama nikimwona hana vigezo vya kunishawishi.
 
Back
Top Bottom