Swali: Jamani Danga ni Nani?!

Hapo umekufuru sana tena sana waombe radhi wakristu ukikaidi jiandae kwa pigo usilolidhani umetoka nje ya mada haipendezi kutaja imani za watu hivyo
njoo mpige popote
 
kama zako zilivyochomoka zote
Ulishaona wapi mwanamke ni king bila kuwa queen au jikeshupaa? Acha usaidiwe kabla ya kuokota makopo Barabarani! Jaribu kurudisha heshima kwa kuacha kudanga (udangaji huenda sambamba na matumizi ya nganda)
 
Danga ktk kiswahili fasaha ni maziwa ya mwanzo ya mzazi, yale ya njano njano.

Kimtaani danga ni msamiati mpya wa buzi kama sijakosea, anayedanga ni malaya.
 
Hahahahaha yeleuuuwi
tunataka mana ingine
Huwezi ita kila mwanamke anaenyonyesha Danga huo ugomvi wake hamtamaliza mtafungana
Ni sawa na kumwita mama yako mzazi au mkeo au dadako Danga
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbavuzangu
 
Wakati ukitimu utapambana nao mimi nimeshauri tu wala sishindani nimekukumbusha tu ingawa mwisho wa yote ni wewe kuukubali au kuukataa ushauri
Ulichonishauri nakijua kabla wewe kuzaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…