Swali: Jamani Danga ni Nani?!

Hongera kweli free p zinasakwa kwa udi na uvumba! Ubarikiwe ila kwa huyo Ndomu ya ulimi muhimu
 
Thaaaank you Honey

Smart911 shemeji yako mpya! ahahahahah
 
Hongera kweli free p zinasakwa kwa udi na uvumba! Ubarikiwe ila kwa huyo Ndomu ya ulimi muhimu
Smart911 embu njoo mchape huyu Lemutuz wa jamii forum anamsumbua dadako! hana kazi anasubiri vya bure aishi!
 
Hongera kweli free p zinasakwa kwa udi na uvumba! Ubarikiwe ila kwa huyo Ndomu ya ulimi muhimu

Kwamba kuna guideline zimekataza free p na narumuk amekubaliana na hizi gold standards. Na kwamba kuna statistical significance inayoonesha correlation ya kukemea ujinga na free p. Noma

cc Honey Money Penny
 
utapata tabu sana... kipigo chako hakitatofautiana na mjinga mwengine alienitukana Jamii Forum.. ngoja naingia Bongo wiki ijayo utashangaa! endeleza matusi... sheria za mtandao zinakuhusu
 
Huyo Lemutuz wa JF tushamjua!
asubirie nikirudi Bongo aone shughuli yake
akamwulize Dadake nilichomfanya mpaka leo haandiki JF
 
Hujambo kwa kujishaua nitakupa na location! Upo nchi ipi king wa kudanga hata pretty kind hafui dafu kwako
 
Huyo Lemutuz wa JF tushamjua!
asubirie nikirudi Bongo aone shughuli yake
akamwulize Dadake nilichomfanya mpaka leo haandiki JF

Walau nimejua kwamba LeMutuz ni cheo kama vile Ukurugenzi wa taasisi fulani, ama uenyekiti wa kamati fulani. Hatari sana
 
hahahahaha
njaa mbaya sana!
umemwona alivyopaniki!
alafu wanamtuma waliomtuma sijui watampelekea chai jela?
ndoroooboee
 
Pumbavu moja linalodhani kumpa mwanamke kila kitu na kutumia hela nyingi kwa mwanamke basi huo ndo uanaume..na pia pumbavu hili ndo wanawake wanaliita danga
 
nikuulize swali?
wewe ukiwa na mwanamke wako kabisa mmependana umemuwowa, unatumia hela kidogo au nyingi?
kama unatumia nyingi kwa mwanamke wako je kunakufanya wewe kuwa danga?
 
Situmiagi hela nyingi kwa mwanamke wangu labda iwe shida ya mhm tena mhm kweli...halafu sijawahi kuona shida kusema hela ina budget yake au sina ..na kupendana haina maana unatoa tu hela hata hela ya mkopo ili mradi mkeo au mpenzi wako asuke nywele za gharama na aridhike...Note:nina mwanamke tunayependana kwelikweli, kumpenda mwanamke na kuwa zezeta kwa mwanamke ni vitu viwili tofauti
 
basi nyoosha sentesi ya kwanza ikae vizuri boss
maana kuwa Waume wenye ndoa zao za miaka hata 50 wanatumia hela zao zote na maisha yao yote kwa wake na watoto zao!
sasa sijui hao utawaita Danga?!
 
Mume kwa mkewe sio danga ila kwa mchepuko anaweza kuwa danga..ukiamua kununua gari kwa mkeo huitwi danga ila ukinunua gari kwa mchepuko unaweza kuitwa danga na mchepuko wako.Mke ana thamani kubwa na anastahili care ingawa sio kila kitu inabidi umpe lakini anastahili huduma za msingi bila manyanyaso bila kuomba..
 
akizizoea huduma za msingi... akataka za ziada hutampa?
 
Inategemea nyingine nitampa nyingine simpi...kuna umuhimu mke wangu kujua thamani ya pesa ..hii itanisaidia mwenyewe ikitokea kipato kimeshuka au nimekufa na yeye ndo kabakia na miradi yangu...kuna bitu ukimzoesha mwanamke halafu ikifika stage humpi nadhani migogoro itaanza wengi wenu hamsomagi alama za nyakati,ubaya wa vitu visivyo vya msingi uwaga so addictive.
 
mmmh! aiya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…