Swali: Je, Kuna uhusiano wa maendeleo na Dini?

Swali: Je, Kuna uhusiano wa maendeleo na Dini?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
1. Wamarekani asilimia 63 ni wakristo.
2. China asilimia kubwa ni Buddhists na Taoism.
3. Japan asilimia 70 ni Shintoism.
4. Israel asilimia 70 na raidi ni Jewish.
5. Saudia asilimia 90 na zaidi ni waislamu.
6. India zaidi ya asilimia 70 ni wahindu.

Qatar ni nchi ya kiislamu Ina maendeleo. Somalia ni nchi iliyojaa waislamu haina maendeleo watu wanakufa na njaa.

Burundi Ina wakristo wengi kuliko dini yoyote Ila Kuna umaskini wa kutosha.

Kwa upeo wa miaka 10 tu utaona hakuna uhusiano uliopo kati ya

1. Maendeleo na dini.
2. Ustaarabu na dini.
Na mengine mengi.
Mtoto aliyezaliwa katika Ubuddha hajui mafundisho ya Mtume Muhammad wala Yale ya Yesu.
 
Back
Top Bottom