Swali: Je ni kitu gani ambacho familia au wazazi wako hawajui kukuhusu

ProMagufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2021
Posts
253
Reaction score
270
Hi guys, Mambo vipi?
Mada inajieleza. From other social network.

Binafsi hawajui kuwa nasota kiasi cha kutaka kurudisha mpira kwa beki. Aha


Twende kazi na wengine.
 
Familia yangu haijui napiga Konyagi kubwa pekee yangu na bangi pia
Usikute wanajua ila wameamua kukusikilizia tu maana ushabadili akili wakikuanza unaweza ibaka amani iliyopo..πŸ˜…
 
Nimewai kumiliki shamba lenye michwa na nikawa na uwezo wa kuamlisha michwa juu ya mazao niliyopanda ile mazao au isile na nilipokuwa nikiulizwa nilikuwa nasema "kuleni tu"
Kwaherini naishia hapa mimi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…