SWALI : Je umeshawahi kulala na mpenzi ukatamani pakuche haraka uondoke/aondoke?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Jamani haya maisha nimepitia vituko vya kukata na shoka.


Mwenzenu kuna siku nililala na mwanaume alikula ugali na makange ya kuku yana pilipili akaongeza na pilipili ya kukata pembeni pilipili mbuzi/kichaaa.

Mwanaume anapenda pilipili kama mhindi.

Wakati wa kugegedana akanipapasa na mikono kwenye harage jaman alafu tukafanya tendo la ndoa kama akaikoroga kuliwaka motoo kama nimechochea jiko la kuni NILITAMANI PAKUCHE HARAKA NIRUDI NYUMBANI MAANA HUYU FRANK HAKUAMINI KAMA PILIPILI IMEKOLEA YANI NILIKOMA NILIHISI MOTO UMEWASHWA KUNAKO.

Demiss Malaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…