SWALI : Je umeshawahi kulala na mpenzi ukatamani pakuche haraka uondoke/aondoke?

SWALI : Je umeshawahi kulala na mpenzi ukatamani pakuche haraka uondoke/aondoke?

Niliona asubuhi haifiki nikapiga simu zima moto walipokuja nikaondoka nao usinikumbushe usinikumbushe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu kazi wanayo...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

nikilala na mwanamke wa one time halafu pochi ikiwa nene sipatagi usingizi kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kuna mmoja huyo sikumfeel kabisa so I had to fake an emergency .. Nikapigiwa fake call nyumba yangu inawaka moto nikaamsha chap kama upepo ..ndukiiii
Looooh mpaka ukamchukua ilikuwaje
 
Kumbe ndo wewe nilikutia pilipili makusudi ulitumia gharama kubwa sana nilikuwa nakukomesha tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe ndo wewe nilikutia pilipili makusudi ulitumia gharama kubwa sana nilikuwa nakukomesha tu
Hahahaha wewe mm huyu alikuwa mpenzi wangu miaka na miaka sema anapenda pilipil
 
Hahahaha wewe mm huyu alikuwa mpenzi wangu miaka na miaka sema anapenda pilipil
Kumbe mm nimesema nini?

Ndio nilikufanyia makusudi ili kila mtu ale kona

Mwanamke unaomba pesa kila siku

Kitandani penyewe ulikuwa gogo
 
Back
Top Bottom