Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wewe nimekushindwa wallah
 
Haaa si atashinda toilet jamani [emoji16][emoji16][emoji16]
Unaenda reception unawaambia nimemkimbia Baeee yupo choon nimemfungia au unamwacha huko huko atakomaaaa
 
Mwezi uliopita kuna dada sijui aliipata wapi namba yangu, maana alijifanya amekosea. Ila akili zangu mpaka leo zinaniambia kuna mtu amempa, wakati tunazidi kuwasiliana nikaanza kumwelewa maana kwa sauti amebarikiwa. Tuliendelea kuwasiliana mpaka ikafikia kuitana yale majina matamu. Tukapanga kuonana ili tujuane zaidi. Siku ilipofika tayari nilishawahi sehemu husika ili niwe wa kwanza kumuona, baada muda gari iliingia na abiria wakaanza kushuka huku nikiwa makini kuwatazama, sikuamini kama ndiye yeye baada ya kushuka limtu ambalo lilipiga simu wakati namuona simu. Kwakuwa simu ilikuwa mfukoni na niliweka vaibresheni niliondoka mdogomdogo
 
Hahaha alikuwa anatishaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha😂😂😂😂😂😂😂fundisho me pia yalinikutaga sina hamu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…