Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaa. Ni mwanzo tu huo.Nimeshamzoeaaa sijawahi kuona sehemu kanijibu vizuri huwa ananipa tusi anapita mbeleee na mm wala huwa sishoboki popote alipo ila sasa kwangu looooh huwa nakomaaa mpaka nasema nilimkosea nn mchaga huyuuuu
Ila ukimzowea walaa hayo matusi hutayaona tena. Kwangu ni rafiki mzuri huyo Demiss.