Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakuita na kuoga keshaoga wewe ndo umemkuta ndani, akaoge mara nyingine ili iweje. Aoshe dhambi?Hapo nitamwambia nenda kaoge nitaangalia kama choo kina ufunguo nina hakika lodge ambazo ni nzuri Zina toilet zenye ufunguo hapo ndo nitakapocheza na akili yangu.
Kiukweli nitamfungia chooni tu hakuna namna.
Kumfanya aoge mtumiane siyoNdo maana nimesema kutumia akili lazima nitamfanya aogeee tena kwahiyo ataingia tu kwenye mtego wa kukimbiwaa
Tom Boy Ma.laya la mjiniDunia haiishi ila watu ndio wanaisha wanakuja wapya jombaaa
[emoji2] njia ya kumfanya akaoge ndo tatizo hapoo, unamkuta nywele bado zina unyevu wa bafuni. Utakimbilia wapi?Siyo hivyo akienda kuoga unamfungia toilet wewe unakimbia [emoji125]
Aiseee hiyo itakuwa umepatiakana sasa hakuna jinsi alafu inakuwaje mtu umfahamu ukakutane naye kwenye chumba cha hotel ni ngumu sana aiseeeee[emoji2] njia ya kumfanya akaoge ndo tatizo hapoo, unamkuta nywele bado zina unyevu wa bafuni. Utakimbilia wapi?
Kama uliweza kumkubali humjui, ushindwe hiko. Yaani ukalainika kiaa sauti ya kiume imekuchombeza kwenye simu. Ukidata huwi makiniAiseee hiyo itakuwa umepatiakana sasa hakuna jinsi alafu inakuwaje mtu umfahamu ukakutane naye kwenye chumba cha hotel ni ngumu sana aiseeeee
Siyo kwa upande wangu ila kuna wengine wanaweza mi mtu ambaye simfahamu napenda nikutane nayeee sehemu ya waziiiKama uliweza kumkubali humjui, ushindwe hiko. Yaani ukalainika kiaa sauti ya kiume imekuchombeza kwenye simu. Ukidata huwi makini
Mmmmh let me guess,.... Anayepekua majani kwa umakini ni yule aliyewahi kukanyaga nyoka kwenye majani..... Umakini wako huo, kuna zito lilikukumba si bureSiyo kwa upande wangu ila kuna wengine wanaweza my mtu ambaye simfahamu napenda nikutane nayeee sehemu ya waziii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yawezekana ila mambo mengine hubaki siri ya muhusika.Mmmmh let guess,.... Anayepekua majani kwa umakini ni yule aliyewahi kukanyaga nyoka kwenye majani..... Umakini wako huo, kuna zito lilikukumba si bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Basiiiiiii, ushakubali limekukuta.... Poleeeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yawezekana ila mambo mengine hubaki siri ya muhusika.
Hata kama siyo mm yawezekana nimesoma kwenye hadithi mbali mbali nimejifunzaa ndo maana nikawa na umakini.
Nakuja Arusha, unikimbieeHahahaaa. Sitaki ije kunikuta hiyo aisee sababu ni moja kati ya vitu ambavyo vinafadhaisha aisee hasa kwa yule anayekuwa amekimbiwa. Teh teh teh.
Sababu anaweza baki na maswali yasiyo na majibu. Hahahaaaa.
Inawezekana ila ni siri ya mhusika, nilikulenga wewe na umakini wako ukajibu hivyo.Hilo halijawahi nikutaa ningekubali tu na kwa upande wangu na kufanya ujingaaa wote mambo kama hayo sijawahi Fanya kabisaaaaa