Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

hahaha yani anza kabisa mazoezi maana.....[emoji125][emoji125][emoji125][emoji17][emoji17][emoji17]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]maana tutakimbiana itakuwa balaaaa sasa
 
Hahahha Mkuu kama mim tu sema mi sikuwah kuongea nae nlikuw nachat sana kulko kuongea. Pia siku nyingne kulikuwagaa na aina flani hiv ya offer kutoka airtel ya kuchat nmeisahau kdg inaitwaje skumoja bana katka chatting mara kimdada kikanibip vile nikiwaga na ugonjwa na namba mpya nikapiga asee mtoto ni ana sauti kama Mikala(kwenye ile muvi ileeee This is the Game of Love) bas nkawaga najua huyu mdada atakuwa hivyo hivyo kama mikala. Asee siku ilipofka kanitumia picha fb namm nikamtumia yangu duuh nilijiona mzuri kuliko yeye. Hahahah.
NB: kipind hcho Whatsapp ata sijui ndo nin kwahyo fb ndo kimbilio.
Tatizo tunakuwaga tunawaumba kichwani kumbe kiuhalisiaa tofauti,,mi siku hizi nimeacha kabisa kumfikiria mtu ni mzuriii hapanaa nikimuumba kichwani na kumuona live unachokuta sicho
 
Wasaaaam!

Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume.

Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na vituko .

1.Huyu alikuwa mwanaume aliyekosea namba tukawa tunawasiliana zaid ya mwaka mmoja bila kuonana maana yeye alisema hana account facebook wala hayupo whatsap.
Basi alishiaa kuniambia tu sifa zake jinsi alivyo kwenye simu kuwa mweusi mrefu wastani na nguo anazopendelea kuvaaa akimaniisha hapo tayar nitahisi anafanana vipi .Aiseeh nilimwambia unafanana na Joh Makini akasema ndiyo .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Na mm bila kukaaa nyuma nikamweleza sifa zangu yani muonekano wangu jinsi nilivyo kama Black chocolate ,mrefu alafu mwili wa wastani nina chura chokozi na ninapenda kusukaaa macho ya mviringo kama gololi.
Hapo mwanaume akavuta picha nafanana kama Alicia keys.

Balaa sasa siku ya kuonana nakumbuka nilikuwa nimeenda Jitegee sekondary kuchukua uhamisho wa Mdogo wangu basi kwa sababu yule mkaka alisema anafanya kazi Mitaa ya Uhasibu nikasema leo ndo siku ya kuonana maana kipindi tunawasiliana mm nilikuwa mkoan Morogoro hivyo nilikuja Dar kwa masuala ya uhamisho wa mdogo wangu.

Basi baada ya kumaliza issue zangu nikaenda kukaaa pale kituo cha uhasibu kwa ajili ya kusubiri gari za Mbagala huku nawasiliana na yule mkaka aje tuonane .

Uwiiiii nilikuwa nimekaa kwa machale najua mnaelewa mchezo wa kuviziana na mtu usiyemjuaaa inavyokuwaaa ni balaaaaa akipig simu unachelewaa kupokeaaa unaangalia nan anayekupigia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Uwiii ghafla vuuup namuona mkaka anakuja amevaa likaptulaaa kubwaaa halimtoshi alafu kachomekea na Tshirt jaman chini kavaaa mabuti ni anatishaa jaman uwiiiii(Mnisamehe Demiss napenda mahanshaamy mnanijua lakini)

Mkaka alikuwa anatisha uuuuuuh nisingeweza kumvumilia kwa kweli nilitoka nduki nikaingia kwenye DCM zile zilizokuwa zinaenda Mbagala Rangi 3 na Mbagala kuuu.

Kituko sasa badala ya kupanda Gari za Kwenda Mbagala Rangi 3 nikajikuta nimefika Mbagala kuu hapo simu nimeizima kabisaa
Nilivyofungua sm nilikutana tu na sms za kwann nimemkimbia mm wala sikujibu nikapotezea.

2.Sharobaro mwembamba
Katika maisha hakuna kitu sikipendi kama wanaume wembamba alafu warefuu .
Huyu mkaka sharo nakumbuka sjui alikosea namba na yeye alikuwa anakaa Kimara suka huko tukawa tunawasiliana .

Baadae akawa amenitumia nauli nitoke Moro niende Dar nikasema niende kuonana na mtu simjui wala siwezi nikikutana anafanana kama kibwengo nitafanyaje sitak aiseeee ikabidi ile nauli iishie kwenye mitumba ya Sabasaba sokoni watu wa Moro mnaelewaa shughuli ya Sabasaba.

Basi yule mkaka akaona isiwe tabu ngoja aje mwenyewe mpaka Morogoro aje tuonane.
Siku hiyo nikaenda kukaaa pale Vijana social hall ipo maeneo ya sabasaba ila nilikaa pembeni yake nikawa nampa Direction huyo mkaka aje mpaka Geti la vijana social.

Jaman alivyofika ni mwembamba mrefuu alafu kavulana kadogo kiukweli mm nisingeweza nilivyojiridhisha ni yeye nikazima simu alafu nikapita pale pale alipokuwa amesimama nikaenda zangu kuchukua bodaboda nikasepa zangu Home.(Uwiiii kaka unisamehe nisingeweza)


Ila jaman haya yalikuwa maisha ya kupita tu na ilikuwa ni lazima itokeee hivyo msinilaumu sana.

Bila kusahau kuna member moja wa hapa Jamiiforum nilishawahi kumkimbiaaa jamn sikutegemea kama ningemkuta hivyo nilitoka ndukiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nusu nivunje milonjoo kwa sababu alinitumia picha siyo zake siku namuona weeeee nilikimbiaaa Mwendo kama Chopa za Urusi.



Mrs Jr chamdeko.
Kumbe upo cheap Sanaa!
 
Hafu mwenyewe utakuta unasura ka tako la dreva wa semi trela za kwenda kongo + Vigimbi kama banio la sufuria (Mpanti)
Kama vile umeota, kabaya hako kakavu kama ukoko wa ugali wa udaga.

Maneno yangekuwa yanaendana na mtu kangekuwa karembo sana, but overused kwa kingereza tunasema ni regular/secon'hand...!

Pole zake mr. Matunguri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila hata mi staki kuonana kwa surprise. Nitumie picha kwanza. Kwenda kuonana na babangu siwezi.
Picha hata Mm ntakutumia ya babaangu... Ila video call siwez mpa baba aongee na wew hahahaaaaaa
 
Ila wewe shem katili sana yani mtu umemtoa Dar mpaka Moro na umemkimbia
Huko mbele nitakupa story nimemtoa mtu Mwanza Moro na nikamkimbia dkk za majeruhi
 
Tukikaa pale cruiz na tukipata kitu kitamu baasi hofu zitaisha[emoji12]
Lol. Na wewe unakuja Cruz In? Tena pale ndo rahisi kukupotezea. Maana ntajifanya nimeitwa na kaka zangu kwenye meza yao kumbe ndo bye bye sirudi ivoo
 
Ee kama ye mwenyewe anajikimbia anaweka picha za wadogo zake!na mi namkimbia nikimuona.bora hata akwambie zile sio picha zangu.najipongeza kumkacha maana ningechoreka na nilivyo HB
Hahahahaha kuna wale hata picha huoni anataka muonane tu hao ndo unacheza kwa mipangooo jinsi ya kumla direction ili umuoneee umkimbieeee
 
Hahahaa. Vibaya hivyo.

We dawa unapiga moyo konde halafu unaonana naye ili upate vingi vya kucheka sababu kama kwa mbali anakuwa hivyo ukimsogelea si ndio unavipata vingi. Hahahaaaaa.
Dada naweza kutana naye nikaaanza kucheka huon kama majaribu hayooo
 
Tatizo tunakuwaga tunawaumba kichwani kumbe kiuhalisiaa tofauti,,mi siku hizi nimeacha kabisa kumfikiria mtu ni mzuriii hapanaa nikimuumba kichwani na kumuona live unachokuta sicho
Haswaaa. Mim tukutane tu sahv kuImagn No, au nipate picha yko. Kama ukinitumia picha sio af tukakutana nakuchana apo apo af natembea
 
Lkn ukipiga kazi nzuri huwa wanasahau machaguo yao, ongezea na mshiko...utaitwa baby[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanabadilika mbona...toto unalichukua halija kaa vizuri unalipiga na vanguard,,,, halijakaa vizuri unalipandisha mwewe to dubai...hahaha hapo hata kama wew ni msukule lazima akuelewe japo atakucheat kiaina
 
Back
Top Bottom