Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Umalaya tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu nimejifunza jambo. Kutuma picha za mtu mwingine mchezo mzuri sana. Kuna rafiki angu alikuaga anamtumia bwana ake picha zangu. Siku bwana anamwambia waonane. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Akaniambia eti niende mimi nikakataaPicha hata Mm ntakutumia ya babaangu... Ila video call siwez mpa baba aongee na wew hahahaaaaaa
mzee umepiga pale na wewe nilibahatika kulala mapinduzi mkuu ila sikuwahi kufika juhudiNaikumbuka sana ile skuli asee duh ni hatar siwez sahau mishe za pale
Kwakwaaaaa ila ww jamaa sijui walikukosea nini wanawake wa Jf teh tehKama vile umeota, kabaya hako kakavu kama ukoko wa ugali wa udaga.
Maneno yangekuwa yanaendana na mtu kangekuwa karembo sana, but overused kwa kingereza tunasema ni regular/secon'hand...!
Pole zake mr. Matunguri.
hahahahaha,binafsi nishapoa ,sirudii tena,nimekomaSemeni tu. Poleni. Nakusaka
Mi sina vigezo ntakaempenda ndo huyo. Wanaonimendea waache tu maana mi pasua kichwaSijaona ukitoa sifa upendazo wewe hapa...toa ili wanaokumendea wajiweke pembeni mapemaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zile sarafu bado zipo chini nije kuokotaUmalaya tuu
Ndo hivyoasee,kumbe
Hata mimi mtu akinifanyia hivyo nabadilika machoni ila moyoni nakusema hatariWanabadilika mbona...toto unalichukua halija kaa vizuri unalipiga na vanguard,,,, halijakaa vizuri unalipandisha mwewe to dubai...hahaha hapo hata kama wew ni msukule lazima akuelewe japo atakucheat kiaina
Ungeenda tyuu mkuu....golden chance never come twiceHalafu nimejifunza jambo. Kutuma picha za mtu mwingine mchezo mzuri sana. Kuna rafiki angu alikuaga anamtumia bwana ake picha zangu. Siku bwana anamwambia waonane. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Akaniambia eti niende mimi nikakataa
Una moyo wa kipekee kama upo hivi una hofu ya Mungu sanaSijawahi kumkimbia demu yeyote na haitatokea kwangu japokuwa huwa nakuta ni nusu ya matarajio aliyokuambia Kuhusu sifa zake.
Namhudumia kila kitu, kama ametoka mkoa tofauti na nilipo ila uhusiano haudumu sana.
Ila kwa sasa tukikutana kwenye mitandao lazima utupie hata Selfie 3 tuonane vyema.
Kuna mmoja nilikutana alitokea Wilayani kuja mjini, dah! Sitasahau. Ilibidi niende naye lodge nikalipia chumba na chakula. Saa 2 usiku nikamwambia nimeitwa ofisini Kuna kazi.
Nilimfuata kesho yake asubuhi saa 3. Nikampandisha gari akarudi home.
Sikumwambia kama sijampenda ila mawasiliano hayakudumu.
Usituharibie shughuli na weweUmalaya tuu
Mkuu unajua nilijipinda sana nikajiaminisha nimeopoa chombo Cha mtandaoni[emoji4] [emoji84]Poleee sana nisingeweza mkuuu akiiii
Nimemmiss sana rafiki yangu khaaa yan yeye anavituko kuliko hata mm tatizo yeye hata mkivumilia mkutane na mtu ndo ukute anaongea kiswahili cha kilafudhinkama watani wangu wa kina beira mweeeeh anaanza kucheka sasa huon kama ananiabishaaa bora tutoke ndukiHahahaaaa. Mkiwa wawili hakiwezi kuisha kwa haraka aiseee kwani kila mkikumbushia mnaanza upya. Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. We mstaarabu lakini.Sijawahi kumkimbia demu yeyote na haitatokea kwangu japokuwa huwa nakuta ni nusu ya matarajio aliyokuambia Kuhusu sifa zake.
Namhudumia kila kitu, kama ametoka mkoa tofauti na nilipo ila uhusiano haudumu sana.
Ila kwa sasa tukikutana kwenye mitandao lazima utupie hata Selfie 3 tuonane vyema.
Kuna mmoja nilikutana alitokea Wilayani kuja mjini, dah! Sitasahau. Ilibidi niende naye lodge nikalipia chumba na chakula. Saa 2 usiku nikamwambia nimeitwa ofisini Kuna kazi.
Nilimfuata kesho yake asubuhi saa 3. Nikampandisha gari akarudi home.
Sikumwambia kama sijampenda ila mawasiliano hayakudumu.
Mimi nikuwa Mapinduzi 2 pia Mkuu. Bweni la mwishoooo af unaingia shambani. Mlimani ilikuwa Kimbilio asee.mzee umepiga pale na wewe nilibahatika kulala mapinduzi mkuu ila sikuwahi kufika juhudi
Ungeenda tu uone..ungetafunwa kwa fujo sana,tunakuaga na dawa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu nimejifunza jambo. Kutuma picha za mtu mwingine mchezo mzuri sana. Kuna rafiki angu alikuaga anamtumia bwana ake picha zangu. Siku bwana anamwambia waonane. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Akaniambia eti niende mimi nikakataa
Bigmind anatakaga awe mchepuko wangu ndo maana siku hizi kaacha kunitukana katulia kimyaaaKwakwaaaaa ila ww jamaa sijui walikukosea nini wanawake wa Jf teh teh
Vp Mama sabrina & mzigua90?
Nikuwafumbia macho tu