Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sijuimmmh,kwani tuwahi kufanya miadi yoyote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijuimmmh,kwani tuwahi kufanya miadi yoyote?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ikabidi nitokeee ndukiii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sawa tu subiri iki expire nitatokaaa nduki kama sina akili vizurJang'ombe kuna nini vile? Jumlisha na [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji779] View attachment 747315
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hatar sana mbon unatutisha cha mdeko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sawa tu subiri iki expire nitatokaaa nduki kama sina akili vizur
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]poleee sana shoo kunanmambo mengine ni balaaa mtu anasaut nzur unaweza kuzan handsome kumbeee mweee mweeeh mweeehMim kuna mtu alikoseaga namba ikaja kwangu kupokea sauti nzuriii mweee ,tukawa tunaongea tu ,tunawasiliana tu nikawa namuwazia atakuwa bonge la handsomee ,,siku naenda kuonana naee kidogo nizimieee limtu kama Li lemutuz halaf mi kadogoo nikamsalimia shikamooo baba ,wakati kwenye simu nilikuaga simsalimiii ,nikamuambia nimepita tu tutaonana baadaee [emoji23][emoji23],,nikivyotoka hapooo nilibadili na laini na ya simu maana kidogo nizimiee
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kazana dada mambo haya yanahitaji ujipangeee ukitoka nduki nyumaaa unaacha vumbiii unatoka kasi vuuuuuuuup break mpaka home
hahahahaha,hilo jiu tu ,linatosha kumkimbia mtuSijui
Najua Nyerer square ndo maeneo maalumu kwa ajili ya kukimbia watu panafaaa sana kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee ni mnenee huyo af mim kadogo assume kipind Aslay ameimba naenda kusema kwa mama(nlikuwa kadogo hivo) af na Isha Mashauz au Khadija Kopa hivi si angeniona mwanae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahahaha jamani demiss we lol nimecheka kifala....Wasaaaam!
Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume.
Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na vituko .
1.Huyu alikuwa mwanaume aliyekosea namba tukawa tunawasiliana zaid ya mwaka mmoja bila kuonana maana yeye alisema hana account facebook wala hayupo whatsap.
Basi alishiaa kuniambia tu sifa zake jinsi alivyo kwenye simu kuwa mweusi mrefu wastani na nguo anazopendelea kuvaaa akimaniisha hapo tayar nitahisi anafanana vipi .Aiseeh nilimwambia unafanana na Joh Makini akasema ndiyo .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na mm bila kukaaa nyuma nikamweleza sifa zangu yani muonekano wangu jinsi nilivyo kama Black chocolate ,mrefu alafu mwili wa wastani nina chura chokozi na ninapenda kusukaaa macho ya mviringo kama gololi.
Hapo mwanaume akavuta picha nafanana kama Alicia keys.
Balaa sasa siku ya kuonana nakumbuka nilikuwa nimeenda Jitegee sekondary kuchukua uhamisho wa Mdogo wangu basi kwa sababu yule mkaka alisema anafanya kazi Mitaa ya Uhasibu nikasema leo ndo siku ya kuonana maana kipindi tunawasiliana mm nilikuwa mkoan Morogoro hivyo nilikuja Dar kwa masuala ya uhamisho wa mdogo wangu.
Basi baada ya kumaliza issue zangu nikaenda kukaaa pale kituo cha uhasibu kwa ajili ya kusubiri gari za Mbagala huku nawasiliana na yule mkaka aje tuonane .
Uwiiiii nilikuwa nimekaa kwa machale najua mnaelewa mchezo wa kuviziana na mtu usiyemjuaaa inavyokuwaaa ni balaaaaa akipig simu unachelewaa kupokeaaa unaangalia nan anayekupigia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Uwiii ghafla vuuup namuona mkaka anakuja amevaa likaptulaaa kubwaaa halimtoshi alafu kachomekea na Tshirt jaman chini kavaaa mabuti ni anatishaa jaman uwiiiii(Mnisamehe Demiss napenda mahanshaamy mnanijua lakini)
Mkaka alikuwa anatisha uuuuuuh nisingeweza kumvumilia kwa kweli nilitoka nduki nikaingia kwenye DCM zile zilizokuwa zinaenda Mbagala Rangi 3 na Mbagala kuuu.
Kituko sasa badala ya kupanda Gari za Kwenda Mbagala Rangi 3 nikajikuta nimefika Mbagala kuu hapo simu nimeizima kabisaa
Nilivyofungua sm nilikutana tu na sms za kwann nimemkimbia mm wala sikujibu nikapotezea.
2.Sharobaro mwembamba
Katika maisha hakuna kitu sikipendi kama wanaume wembamba alafu warefuu .
Huyu mkaka sharo nakumbuka sjui alikosea namba na yeye alikuwa anakaa Kimara suka huko tukawa tunawasiliana .
Baadae akawa amenitumia nauli nitoke Moro niende Dar nikasema niende kuonana na mtu simjui wala siwezi nikikutana anafanana kama kibwengo nitafanyaje sitak aiseeee ikabidi ile nauli iishie kwenye mitumba ya Sabasaba sokoni watu wa Moro mnaelewaa shughuli ya Sabasaba.
Basi yule mkaka akaona isiwe tabu ngoja aje mwenyewe mpaka Morogoro aje tuonane.
Siku hiyo nikaenda kukaaa pale Vijana social hall ipo maeneo ya sabasaba ila nilikaa pembeni yake nikawa nampa Direction huyo mkaka aje mpaka Geti la vijana social.
Jaman alivyofika ni mwembamba mrefuu alafu kavulana kadogo kiukweli mm nisingeweza nilivyojiridhisha ni yeye nikazima simu alafu nikapita pale pale alipokuwa amesimama nikaenda zangu kuchukua bodaboda nikasepa zangu Home.(Uwiiii kaka unisamehe nisingeweza)
Ila jaman haya yalikuwa maisha ya kupita tu na ilikuwa ni lazima itokeee hivyo msinilaumu sana.
Bila kusahau kuna member moja wa hapa Jamiiforum nilishawahi kumkimbiaaa jamn sikutegemea kama ningemkuta hivyo nilitoka ndukiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nusu nivunje milonjoo kwa sababu alinitumia picha siyo zake siku namuona weeeee nilikimbiaaa Mwendo kama Chopa za Urusi.
Mrs Jr chamdeko.
Mweeeh mweeeh huoni kama Mshana amefunga za kwakee hapaaa sijui kama zitafua dafu alafu naweza pote fyuuuuuup kama maninja wa kikorea[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]Nazitafuta tunguli za kukukamata, ukiniona tu unapi ganzi hapo hapo
Hapa mkuu.. Now days smartphone ya 50000 inakila kitu mkuuWengine hawana smart 4n mkuuu
Mimi nimkimbie mtu? Siwezihahahahaha,hilo jiu tu ,linatosha kumkimbia mtu
Demiss kaamua kutudhalilisha toka jana anatusema wanaume. Sa mwanaume wa dar atachomekeaje tshirt kwenye kaptula, kwan anaenda kucheza gofu!!!Demiss umenichekesha hadi nmelia, eti kavaa likaptura likubwa kachomekea na litisheti, huishagi vituko jamani, mm huwa siwakimbii kabisaaa ntamuona nitasalimiana nae halaf namwambia bahati mbaya nmepata dharura sitaweza kukaa sana , nkitoka hapo nablock kila kitu ,sema labda wao ndo wananikimbiaga hahahahahah
Oooh subir na siku ya mm kukimbiwaa nitawaletea story mkuu bado sijafika wala usiniharakishee tulizaaa ngoko kwanza sawaaaa mambo bado yanakujaaaaMm nahisi hujiamini kama ni mzuri ndio sababu huwa unakimbia,ktk thread zako zote hujawahi sema umekimbiwa,unajihami mapemaa