Kutuma picha za mtu mwingine ni deal sana, tena unahakikisha unazo nyingi tofauti tofauti na za matukio tofauti tofauti. Sema hizi video call ndio zimetuharibia mambo.Halafu nimejifunza jambo. Kutuma picha za mtu mwingine mchezo mzuri sana. Kuna rafiki angu alikuaga anamtumia bwana ake picha zangu. Siku bwana anamwambia waonane. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Akaniambia eti niende mimi nikakataa
Kama upo kichwan kwangu wifiii yule mkaka wa mbagala alivyonipa sifa nikajua Joh makin kumbeee mweeee mweeeh mburaaaaahUtanikimbia maana mwandiko wa humu na live ni kama huku unamuwaza Uwoya halafu live unakutana na Hadija kopa. Kwanini usitoke mbio sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Demiss kaamua kutudhalilisha toka jana anatusema wanaume. Sa mwanaume wa dar atachomekeaje tshirt kwenye kaptula, kwan anaenda kucheza gofu!!!
Ni sawa na kulikuwaga mtangazaji wa radio free Groly alikuwa ana sauti nzuri yule dada siku namuona heeeeeee kidogo nikatae Mungu huyu hakupi vyote[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]poleee sana shoo kunanmambo mengine ni balaaa mtu anasaut nzur unaweza kuzan handsome kumbeee mweee mweeeh mweeeh
Sana jamani. Sema mi najikubali nakupa tu zangu kama ukinikataa basi bwana [emoji23]Kutuma picha za mtu mwingine ni deal sana, tena unahakikisha unazo nyingi tofauti tofauti na za matukio tofauti tofauti. Sema hizi video call ndio zimetuharibia mambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama upo kichwan kwangu wifiii yule mkaka wa mbagala alivyonipa sifa nikajua Joh makin kumbeee mweeee mweeeh mburaaaaah
Wewee kidogo nizime kitendo cha kupeana bye niliona bahati mnooBwahahaha sipat picha ulivyochekaaa baada ya kufika homeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakika ni pazuri paleee.Najua Nyerer square ndo maeneo maalumu kwa ajili ya kukimbia watu panafaaa sana kwa kweli
Kinachofata ni kukimbia na kuacha vumbi na kicheko cha hajaTatizo tunakuwaga tunawaumba kichwani kumbe kiuhalisiaa tofauti,,mi siku hizi nimeacha kabisa kumfikiria mtu ni mzuriii hapanaa nikimuumba kichwani na kumuona live unachokuta sicho
Ndugu yangu na udogo wangu huu huu sihawahi date na msichana ninayemzidi umri.. 25 kupanda juuNa ulivyo kadogooo ungezimia kifuani mwakeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka nilipokuwa nasoma mlimani kipindi hicho mtandao maarufu ulikuwa hi5 basi kule nikakutana na kijana mmooja matata yaan pichaa alizokuwa ananitumiaa zilikuwa balaaa mtoto wa kike nikadataa though mi zangu zilikuwa za ukweli,basi bwana siku zikaenda tukawa tushazoena yeye alikuwa anakaa mbezi mi nakaa hall 3 basi siku ya siku akaniambiaa anataka tuonane basi bwana nikamwambiaa anifate chuo na tulipanga tuende kwanza best bites coz ilikuwa mchana for lunch.tukakubaliana mi nikawa nipo sana xcited kuonana na mkaka handsome hatareee yaan inshort alikuwa kakamilika kila idara,basi bwana sikutaka anifate kule hall three nikamwambiaa atanikuta container.Basi mtoto wa kike nikauparaaa balaaa akaniambiaa amekaribia pale udasa basi na mm nikajisogeza kituo cha container ....nikawa nimesimama nikshangaa gari limepaki upande wa pili kama unaelekeaa kule utawala......ili kuwa discover nyeusi full tinted ,akanipigiaa simu nimeshakuonaa njoo upande wa pili uingiee ndani ya gari ,nikavuka ile nafunguaa mlango jaman nikishtukaa balaaaaaa manake nilikutana na mbaba mtu mzima zaidi ya baba angu yaan kwa uogaa nikajijutaa namsalimiaa shikamoo baba akaniambiaaa achaa zako,akagunga milango tuakenda jaman alijuaa kanisa sipo comfortable manake mpka tunafika kule nilkuwa kama msukule na yy alilitambuaa hilo basi tulivyomaliza kulaa akanirudisha akajiongeleshaa weee nikashuka akanipa ela nikarudi zngu room jaman baaada ya hapo nolimblock kilaa sehemu....na sijuwasiliana naye tena
Though baadae nilikuja kumuona kwenye tv flan nikajuaa kazi yake na mpkaa sasa najuaa anapofanya kazi na kitengo alipo ila sijawah mtafutaa!!!