Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Duh! Inaonekana umepitia misukosuko mingi mno ya kukimbia watu tupe full kabisa hii umeikomeshea njiani kama bongo movie
 
Mi kipindi natumia FB kuna mdada akawa ananitumia salam kila siku.chats zikaendelea weee baadae nikamtumia nauli aje arusha.ilikuwa 2013 hivi [emoji12]
Basi akaja alipofika bus terminal akanipigia!sijataka kutokea kindezi nikamuuliza tu umevaaje??!!nimevaa top ya peach na pedo ya pupple!
Hapo nimeeka eafon maskioni huku namkagua kwa mbaali duuuhhh libonge la demuuu kama tairi ya trekta linavyotembea afu miguu imegusana kwa kati likitembea!khaaa kumbe ile sio picha yake FB??!!nilipotea pale km mzimu na nikazima na simu kbs!baadae akanitext MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA[emoji13] [emoji13]
 
Hahahaaa. Sitaki ije kunikuta hiyo aisee sababu ni moja kati ya vitu ambavyo vinafadhaisha aisee hasa kwa yule anayekuwa amekimbiwa. Teh teh teh.

Sababu anaweza baki na maswali yasiyo na majibu. Hahahaaaa.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji8] njoo huku chumba kimekuwa swimming pool
 
Haya ndio maneno Pacha.

Mie pia sijawahi fikiria kufanya alichokifanya mdogo wangu Demiss.
 
Hahahaaaaa. Hivi wapo wanaotumaga picha za ndugu zao eeee? [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…