Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Sabab bado mdogo wacha tuendelee kumpa somo
Ww kaa tu ongea nae japo waweza kuwa unataman muda ukimbie uende zako
Hahahaaaa. Itabidi tumpe somo kwa kweli.

Umeonaeee. Mie Pacha nikishakuaga nikaondoka huku nyuma ndio nitacheka mpaka basi na wala sitaweza kumwambia ila itabaki siri yangu na moyo wangu. Teh.
 
Mi sikukimbii ila baada ya kuonana ntakupotezea. Kila ukipiga simu niko busy. Na nakujibu dry dry tu mpaka utakaa sawa. Kuna watu unakutana nao unagundua hawafai hata kuwa marafiki. Sasa watu wa hivyo wanajua kuganda hao.
 
Hahahaaaa. Itabidi tumpe somo kwa kweli.

Umeonaeee. Mie Pacha nikishakuaga nikaondoka huku nyuma ndio nitacheka mpaka basi na wala sitaweza kumwambia ila itabaki siri yangu na moyo wangu. Teh.
Huo ndo ukubwa
Yaani ukikumbuka unacheka hadi machozi
 
Mim nilikuaga Form 4 kipind hcho nasoma shule moja hvi iko Mpwapwa huko mkoani Dodoma, nilikuw ndo kwaanza naanza kujiunga na FB basi nikawa na urafiki na mdada mmoja hvi chatting zakufa mtu akala saund kakubali. Siku moja ikawa likizo fupi ikabidi niende dodoma mjin kutoka mpwapwa sec kulkuw na ndugu yangu pale dodoma. Sas nilipofika nilimwambia nmefka tukaahidiana kuonana Nyerere Square bas mapemaaa nikafika nkakaa chimbo zurii sas alipokuja nae nkamuekeza aingie kupitia mlango gani, alivyoingia tu duh ni Bonge la Mdada af nikijiangalia nlvokuw kadogo duuh ilibid nizime simu nirudi nyumbani.
 
Back
Top Bottom