Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Duh! Inaonekana umepitia misukosuko mingi mno ya kukimbia watu tupe full kabisa hii umeikomeshea njiani kama bongo movie
Usjali zitakujaaa huu mwezi mzimaaa nitawaletea harakat za Demiss na kukimbia wanaumeeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sitosahau kipindi nasoma advance lyamungo secondary. Kuna mwana mmoja akapata manzi fb dem kapost picha kali ajabu. Jamaa karusha sound mtoto kaelewa. Ikawa siku moja tumekuja kishule moshi town maeneo ya hindu mandal kuchangia damu salama. Jamaa akasema ngoja nimchek yule demu tumekaa upande wapili wa barabara dem akasema nakuja tukasubiri alipofika jamaa anataka kukimbia demu akaita kwa nguvu wee nimeshakuona subiri nivuke. Aisee alikuwa mnene ajabu halafu mrefu so akawa kipande cha mtu. Dem kamganda jamaa ajab had akakubali kwenda kuchangia damu. Ajabu ni kwamba alifungwa mikono yote hakuonekana mshipa wakampa soda na biskuti wakamwambia tunashukuru maana ulikuwa na nia ya kuchangia ila afya imekataa[emoji23]
 
Mi kipindi natumia FB kuna mdada akawa ananitumia salam kila siku.chats zikaendelea weee baadae nikamtumia nauli aje arusha.ilikuwa 2013 hivi [emoji12]
Basi akaja alipofika bus terminal akanipigia!sijataka kutokea kindezi nikamuuliza tu umevaaje??!!nimevaa top ya peach na pedo ya pupple!
Hapo nimeeka eafon maskioni huku namkagua kwa mbaali duuuhhh libonge la demuuu kama tairi ya trekta linavyotembea afu miguu imegusana kwa kati likitembea!khaaa kumbe ile sio picha yake FB??!!nilipotea pale km mzimu na nikazima na simu kbs!baadae akanitext MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA[emoji13] [emoji13]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dadeeeki una tabia mbayaaa sana
 
Hahahaaa. Sitaki ije kunikuta hiyo aisee sababu ni moja kati ya vitu ambavyo vinafadhaisha aisee hasa kwa yule anayekuwa amekimbiwa. Teh teh teh.

Sababu anaweza baki na maswali yasiyo na majibu. Hahahaaaa.
Dada nimefurahi sana naona umecheka kiukweli mm huwa nakimbia sitak pressure maana mtunwa hivyo hata story zinaishaaaa kabisaaa
 
Mi sikukimbii ila baada ya kuonana ntakupotezea. Kila ukipiga simu niko busy. Na nakujibu dry dry tu mpaka utakaa sawa. Kuna watu unakutana nao unagundua hawafai hata kuwa marafiki. Sasa watu wa hivyo wanajua kuganda hao.
[emoji17][emoji17][emoji17]
 
Back
Top Bottom