Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hiyo ya kucheka sasa unikute na rafiki yangu Apple mweeeeeh tukishakimbia tutacheka mwezi mzimaaaa
Hahahaaaa. Mkiwa wawili hakiwezi kuisha kwa haraka aiseee kwani kila mkikumbushia mnaanza upya. Lol.
 
Mim nilikuaga Form 4 kipind hcho nasoma shule moja hvi iko Mpwapwa huko mkoani Dodoma, nilikuw ndo kwaanza naanza kujiunga na FB basi nikawa na urafiki na mdada mmoja hvi chatting zakufa mtu akala saund kakubali. Siku moja ikawa likizo fupi ikabidi niende dodoma mjin kutoka mpwapwa sec kulkuw na ndugu yangu pale dodoma. Sas nilipofika nilimwambia nmefka tukaahidiana kuonana Nyerere Square bas mapemaaa nikafika nkakaa chimbo zurii sas alipokuja nae nkamuekeza aingie kupitia mlango gani, alivyoingia tu duh ni Bonge la Mdada af nikijiangalia nlvokuw kadogo duuh ilibid nizime simu nirudi nyumbani.
Mkuu ukaach vumbi tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]na manyoyaaa why?
 
Demiss umenichekesha hadi nmelia, eti kavaa likaptura likubwa kachomekea na litisheti, huishagi vituko jamani, mm huwa siwakimbii kabisaaa ntamuona nitasalimiana nae halaf namwambia bahati mbaya nmepata dharura sitaweza kukaa sana , nkitoka hapo nablock kila kitu ,sema labda wao ndo wananikimbiaga hahahahahah
Mtani nawe si ulinikimbia au?
Q
 
Back
Top Bottom