Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Hahah!!Shem nataka tukimbianee tu
inatokea sana yani vituoni mwa daladala watu hutelekezana hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!!Shem nataka tukimbianee tu
Toa shaka nitakutangaza Global tuMihata ukinikimbia nisawa tu, lakini usije ukanitangaza huku Jf kama huyu mke wa mganga.... tehteehhh
Toba.....[emoji87] [emoji87] [emoji87]Toa shaka nitakutangaza Global tu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kimbia haswaaaaaaaaToba.....[emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji8] njoo huku chumba kimekuwa swimming poolWasaaaam!
Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume.
Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na vituko .
1.Huyu alikuwa mwanaume aliyekosea namba tukawa tunawasiliana zaid ya mwaka mmoja bila kuonana maana yeye alisema hana account facebook wala hayupo whatsap.
Basi alishiaa kuniambia tu sifa zake jinsi alivyo kwenye simu kuwa mweusi mrefu wastani na nguo anazopendelea kuvaaa akimaniisha hapo tayar nitahisi anafanana vipi .Aiseeh nilimwambia unafanana na Joh Makini akasema ndiyo .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na mm bila kukaaa nyuma nikamweleza sifa zangu yani muonekano wangu jinsi nilivyo kama Black chocolate ,mrefu alafu mwili wa wastani nina chura chokozi na ninapenda kusukaaa macho ya mviringo kama gololi.
Hapo mwanaume akavuta picha nafanana kama Alicia keys.
Balaa sasa siku ya kuonana nakumbuka nilikuwa nimeenda Jitegee sekondary kuchukua uhamisho wa Mdogo wangu basi kwa sababu yule mkaka alisema anafanya kazi Mitaa ya Uhasibu nikasema leo ndo siku ya kuonana maana kipindi tunawasiliana mm nilikuwa mkoan Morogoro hivyo nilikuja Dar kwa masuala ya uhamisho wa mdogo wangu.
Basi baada ya kumaliza issue zangu nikaenda kukaaa pale kituo cha uhasibu kwa ajili ya kusubiri gari za Mbagala huku nawasiliana na yule mkaka aje tuonane .
Uwiiiii nilikuwa nimekaa kwa machale najua mnaelewa mchezo wa kuviziana na mtu usiyemjuaaa inavyokuwaaa ni balaaaaa akipig simu unachelewaa kupokeaaa unaangalia nan anayekupigia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Uwiii ghafla vuuup namuona mkaka anakuja amevaa likaptulaaa kubwaaa halimtoshi alafu kachomekea na Tshirt jaman chini kavaaa mabuti ni anatishaa jaman uwiiiii(Mnisamehe Demiss napenda mahanshaamy mnanijua lakini)
Mkaka alikuwa anatisha uuuuuuh nisingeweza kumvumilia kwa kweli nilitoka nduki nikaingia kwenye DCM zile zilizokuwa zinaenda Mbagala Rangi 3 na Mbagala kuuu.
Kituko sasa badala ya kupanda Gari za Kwenda Mbagala Rangi 3 nikajikuta nimefika Mbagala kuu hapo simu nimeizima kabisaa
Nilivyofungua sm nilikutana tu na sms za kwann nimemkimbia mm wala sikujibu nikapotezea.
2.Sharobaro mwembamba
Katika maisha hakuna kitu sikipendi kama wanaume wembamba alafu warefuu .
Huyu mkaka sharo nakumbuka sjui alikosea namba na yeye alikuwa anakaa Kimara suka huko tukawa tunawasiliana .
Baadae akawa amenitumia nauli nitoke Moro niende Dar nikasema niende kuonana na mtu simjui wala siwezi nikikutana anafanana kama kibwengo nitafanyaje sitak aiseeee ikabidi ile nauli iishie kwenye mitumba ya Sabasaba sokoni watu wa Moro mnaelewaa shughuli ya Sabasaba.
Basi yule mkaka akaona isiwe tabu ngoja aje mwenyewe mpaka Morogoro aje tuonane.
Siku hiyo nikaenda kukaaa pale Vijana social hall ipo maeneo ya sabasaba ila nilikaa pembeni yake nikawa nampa Direction huyo mkaka aje mpaka Geti la vijana social.
Jaman alivyofika ni mwembamba mrefuu alafu kavulana kadogo kiukweli mm nisingeweza nilivyojiridhisha ni yeye nikazima simu alafu nikapita pale pale alipokuwa amesimama nikaenda zangu kuchukua bodaboda nikasepa zangu Home.(Uwiiii kaka unisamehe nisingeweza)
Ila jaman haya yalikuwa maisha ya kupita tu na ilikuwa ni lazima itokeee hivyo msinilaumu sana.
Bila kusahau kuna member moja wa hapa Jamiiforum nilishawahi kumkimbiaaa jamn sikutegemea kama ningemkuta hivyo nilitoka ndukiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nusu nivunje milonjoo kwa sababu alinitumia picha siyo zake siku namuona weeeee nilikimbiaaa Mwendo kama Chopa za Urusi.
Mrs Jr chamdeko.
Nimekimbilia PM ili tuyajenge....[emoji39] [emoji39]Kimbia haswaaaaaaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Namuhurumia sana huyu member wa Jf mwenye anakumiliki wallah, maana sio kwa michambo hii.... tehteehhh
Haya ndio maneno Pacha.Demiss umenichekesha hadi nmelia, eti kavaa likaptura likubwa kachomekea na litisheti, huishagi vituko jamani, mm huwa siwakimbii kabisaaa ntamuona nitasalimiana nae halaf namwambia bahati mbaya nmepata dharura sitaweza kukaa sana , nkitoka hapo nablock kila kitu ,sema labda wao ndo wananikimbiaga hahahahahah
Ebu fanya tukutane, sinto kukimbia haki....[emoji39] [emoji39]Hahahaaa. Sitaki ije kunikuta hiyo aisee sababu ni moja kati ya vitu ambavyo vinafadhaisha aisee hasa kwa yule anayekuwa amekimbiwa. Teh teh teh.
Sababu anaweza baki na maswali yasiyo na majibu. Hahahaaaa.
[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaaaaa. Hivi wapo wanaotumaga picha za ndugu zao eeee? [emoji85]Mwanaume anakutumia picha za Baba akeee badala atume za kwake mkuu utaacha kumkimbiaa tena natoka ndukii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hata wewe rafiki na hii id yako ina brand kubwa nikikuta unafanana sivyo ndivyo nakukimbiaaa tu
Sabab bado mdogo wacha tuendelee kumpa somo
MhhHafu mwenyewe utakuta unasura ka tako la dreva wa semi trela za kwenda kongo + Vigimbi kama banio la sufuria (Mpanti)