Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mnaviziana kama pakaaa anataka kukamata panyaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajanja nyie wewe na mama p nimecheka sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajanja nyie wewe na mama p nimecheka sana
Acha tuu. Alitaka kughairi... Ikabidi nisalim amri nijitokeze. Nkasema hapa nimeshaahindwa. Nkikutana na kitu kibaya tavumilia. Alivyo jitokeza tuu. Dah sikuamini kwanini nlikuwa nakaaa mita 200
 
Kwanza love making hajui kabisa she wasn't romantic at all!
Unasukuma mkuyenge hata mguno hamnaa

What a wastage of manhood
Dj wakat wa mgegedo unapendaa kuongeaaa eeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajanja nyie wewe na mama p nimecheka sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii ilimtokea rafiki yangu wa karibu, kuna mkaka alikosea namba ndio ukawa mwanzo wa mawasiliano kipindi hicho tulikuwa kidato cha nne tukawa tunajisomea pamoja usiku yaani rafiki yangu alikuwa anaongea tu na simu usiku wote hana muda wa kusoma.
Yule kaka alikuwa anaishi moro siku hiyo akasema nakuja dom kuna mzigo naleta huko nataka tuonane maana hata mie nilikuwa naongea nae kwa simu ya rafiki yangu. Ilikuwa ijumaa tukawahi kurudi mwenzangu akajiandaa kwenda kumuona mgeni wake kurudi huko mwenzangu kabadilika yaani amekasirika anasema yaani toka nimezaliwa sijawahi kuonana na baba mwenye sura ngumu kama yule [emoji1] [emoji1] [emoji1].
Kesho yake alikuwa anarudi moro akamwambia kesho uje na shemeji nimuone(mie huyo) jamani kufika nje ya hiyo guest aliyofikia akampigia atoke nje tumefika alikuwa amevaa bonge la suruali la kitambaa na shati la mikono mirefu juu kofia.
Kwenye simu alikuwa na sauti nzuri hatari kuja kumuona nikabaki hoi.
Nilicheka njia nzima kama chizi hadi kufika nyumbani nacheka mwenyewe naulizwa unawehuka? Toka hapo yule baba akipiga simu utasikia hili nalo na matusi juu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee kwenye nguo ndo huwa sna hamuu sipat picha mlivyokuwa mnamzodoaaa akipiga simu mnachelewa mpaka kupokeaaaa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee kwenye nguo ndo huwa sna hamuu sipat picha mlivyokuwa mnamzodoaaa akipiga simu mnachelewa mpaka kupokeaaaa
Jamani kuanzia Shati bwanga, suruali bwanga simu tulikuwa hatupokei. Yaani darasani tulikuwa tunaangaliana tunabaki kucheka tu yakaja kunikuta na mie mtu akakosea namba nikamwambia tafadhali, Ushindwe katika jina la Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…