Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Niliwahi mkimbia dada mmoja alikuwa amekosea namba
Bhasi tukaendelea kuchat siku moja nikawa naenda karagwe akaniambia anasoma chuo cha uuguzi huko karibu na chato nimepasahau ila kuna madagaa kibao

Nikasema ngoja nipite nikamuone
Nikamdeshi kumwambia Lodge niliyofikia aje!nikakaa sawa huku manyege yakinipanda!

Basi Mara muhudumu ananikongea na kuniambia kuna mgeni wangu reception

Lol! Walahi kwa mapozi ya yule dada ktk simu na akilini najua manesi huwa wazuri!
Sikuamini sanamu niliyokuwa natazamana nayo walah!Mungu nisamehe

Mpua ule ka kwato Yale mapua ya umbo la M
Maziwa yalishashuka ka kandambili za chinga!

Shingo imedidimia ka kapigwa nyundo

Domo la dai cha mtoto!

Sikuwa na jinsi nikamkaribisha rumu ile kunipa mgongo nikaona bonge la chura
Nikasema kweli Mungu hakunyimi vyote

Nikampinda mbuzi kagoma kwenda ili nisione ule msura nikapiga mbili kwa mpigo
Nikampa teni nikamwambia ntakutafuta hadi Leo anasubiri simu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Hahaha that day..
Palikuwa na mvua mvua. Hali ya hewa Fulani hivi nzuri.
Haujui tuu ile siku nilitumia masaa mangapi kuoga. Daah .
Baba p kiutani utani ananiambia B nakuja nipo njiani. Umepanda bus gani..? Akasema Dar express.
Nikajipulizia unyunyu hahahaaha nikawahi stend.
Nikakutana na mkaka mmoja my collage mate tukaanza kupiga stori za kubeti ananionyesha mikeka yake ilivyochanika.
Mara paaaaap ngoma hiyo... Watu wakaanza kushuka.
Nikamuona baba p wangu nilifurahi sana yani.
Tukaenda hotel moja ya kifahari sana. Siyo kwa kugegedwa kule nilitamani kukimbia.
Kesho yake tukaenda wapi kule baba p ? Tukapiga maphoto baadae tukaenda kucheki gemu ya man u na arsenal kama sikosei.
Duu umenikumbusha mbali jamani.
Jf idumu milele
Wacha we!!!
 
Mmmmh hii part 2 ulikulwa bana,,sema uliona huwezi kuhimili dushe ukalikimbia shem

Kua mkweli[emoji23] [emoji23]
Shem nilikimbia mazingira huwez kuamin mm sehem chafu chafu siwez kugegedwa kama nimegegedwa huwa nasema tu
 
Yajayo yanahuzunisha!

Boy akikutumia nauli ya kumfwata aunganishe na ya kurudia pia maana mnaweza msionane.
 
Yajayo yanahuzunisha!

Boy akikutumia nauli ya kumfwata aunganishe na ya kurudia pia maana mnaweza msionane.
Asipokutumia bebaaa ya emergence kabisaaa maana unaweza kuumbukaaa mkuu
 
Hahaha that day..
Palikuwa na mvua mvua. Hali ya hewa Fulani hivi nzuri.
Haujui tuu ile siku nilitumia masaa mangapi kuoga. Daah .
Baba p kiutani utani ananiambia B nakuja nipo njiani. Umepanda bus gani..? Akasema Dar express.
Nikajipulizia unyunyu hahahaaha nikawahi stend.
Nikakutana na mkaka mmoja my collage mate tukaanza kupiga stori za kubeti ananionyesha mikeka yake ilivyochanika.
Mara paaaaap ngoma hiyo... Watu wakaanza kushuka.
Nikamuona baba p wangu nilifurahi sana yani.
Tukaenda hotel moja ya kifahari sana. Siyo kwa kugegedwa kule nilitamani kukimbia.
Kesho yake tukaenda wapi kule baba p ? Tukapiga maphoto baadae tukaenda kucheki gemu ya man u na arsenal kama sikosei.
Duu umenikumbusha mbali jamani.
Jf idumu milele
Zile siku mama P.
Ila uchumba raha sana.
I wish ijirudie ni siku ambayo sitokaa niisahau.
Asante sana kwa kuniamini na kunitunuku.
Mama p
 
Back
Top Bottom