Tena mm kama mwanaume simpend huwa sipokei hata simu yakeee nikipokea naiweka kwenye kwapaaaa kidogo alafu ndo naongeaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahaaaa haaa mbio hizo hatareee majibu ya mkato sahizi najishangaa tu
Ukiandaliwa funguo ya gari na hati ya nyumba je unge kimbia kwa yule wa kwanza mwenye likaptula?!Mwanaume anakutumia picha za Baba akeee badala atume za kwake mkuu utaacha kumkimbiaa tena natoka ndukii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hata wewe rafiki na hii id yako ina brand kubwa nikikuta unafanana sivyo ndivyo nakukimbiaaa tu
Mimi huwa namuangalia tu mtu tayar najua mpaka mfukon kwake kwanz amaongezi tu napata majibuuuuUnakuta mtu umeitwa sehemu ukifika tu unaanza kufakamia mwishowe wanakuvua viatu mie nilikuwa nacheka balaa unakulaje tu bila kujiongeza akili[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja wanaumee wa Dar wajeee mm sipo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na wewe Demiss mbona una matatizo kihivyo....unamkimbia mkaka wa kwanza wakati yeye alishakuambia anafanana na Joh Makini baada ya wewe kupata hisia ya picha yake....vipi humpendi Joh Makini nini? Kingine, wanaume wengi haswa wa Dar hata akiwa na miaka 60 anaona ufahari kuvaa kama Diamond (suruali ya kubana na kushuka mpaka makalioni), kwao wanaona ni ujanja.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]gari tenaaa[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Ukiandaliwa funguo ya gari na hati ya nyumba je unge kimbia kwa yule wa kwanza mwenye likaptula?!
Ila hilo likaptura lilikuwa ni balaa,namuona huyo jamaa na ID feki anapita tu humu anakuchora kweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]gari tenaaa[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Yap...ni katika kutengeneza cv tuUnalalaje na mtu usiyempendaaa mkuu?
unaonekana ni mtabir mzuri nataka uonane na mimi unitabirieMimi huwa namuangalia tu mtu tayar najua mpaka mfukon kwake kwanz amaongezi tu napata majibuuuu
Ngoja wanaumee wa Dar wajeee mm sipo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]