Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Hahahaaa kimbotela ni yale mashimo ya wachimba dhahabu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ooooh nilkuwa sjui yale yakifika ndani zaidiii huwa yanakutana huko ndani kwa ndaniiii
 
Na wewe Demiss mbona una matatizo kihivyo....unamkimbia mkaka wa kwanza wakati yeye alishakuambia anafanana na Joh Makini baada ya wewe kupata hisia ya picha yake....vipi humpendi Joh Makini nini? Kingine, wanaume wengi haswa wa Dar hata akiwa na miaka 60 anaona ufahari kuvaa kama Diamond (suruali ya kubana na kushuka mpaka makalioni), kwao wanaona ni ujanja.
 
Hahaaaa haaa mbio hizo hatareee majibu ya mkato sahizi najishangaa tu
Tena mm kama mwanaume simpend huwa sipokei hata simu yakeee nikipokea naiweka kwenye kwapaaaa kidogo alafu ndo naongeaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mwanaume anakutumia picha za Baba akeee badala atume za kwake mkuu utaacha kumkimbiaa tena natoka ndukii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Hata wewe rafiki na hii id yako ina brand kubwa nikikuta unafanana sivyo ndivyo nakukimbiaaa tu
Ukiandaliwa funguo ya gari na hati ya nyumba je unge kimbia kwa yule wa kwanza mwenye likaptula?!
 
Unakuta mtu umeitwa sehemu ukifika tu unaanza kufakamia mwishowe wanakuvua viatu mie nilikuwa nacheka balaa unakulaje tu bila kujiongeza akili[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi huwa namuangalia tu mtu tayar najua mpaka mfukon kwake kwanz amaongezi tu napata majibuuuu
 
Na wewe Demiss mbona una matatizo kihivyo....unamkimbia mkaka wa kwanza wakati yeye alishakuambia anafanana na Joh Makini baada ya wewe kupata hisia ya picha yake....vipi humpendi Joh Makini nini? Kingine, wanaume wengi haswa wa Dar hata akiwa na miaka 60 anaona ufahari kuvaa kama Diamond (suruali ya kubana na kushuka mpaka makalioni), kwao wanaona ni ujanja.
Ngoja wanaumee wa Dar wajeee mm sipo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukiandaliwa funguo ya gari na hati ya nyumba je unge kimbia kwa yule wa kwanza mwenye likaptula?!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]gari tenaaa[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Ila hilo likaptura lilikuwa ni balaa,namuona huyo jamaa na ID feki anapita tu humu anakuchora kweli

I have a dream.
 
Yule szan kama anaweza kutunia hata sm za touch rohooo yakeee inapendaaa sm za kubonyezaa batani
 
Ngoja wanaumee wa Dar wajeee mm sipo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Enheee, unakimbia tena, sasa wakija kunikaba koo nani atakuwa shahidi wangu?
 
Back
Top Bottom