Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Kwahiyo ukamuachiaaa na bill?
 
Niowe wap baada ya kuachana pale ikawa ndo mwisho wa mawasiliano mm nilichofanya nili play part yangu as gentleman ckutaka kuumiza hisia zake kujiona hana thaman duniani maana inapaswa kupenda na kupeana moyo ktk nyakat ngumu kama hizo
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ndo hapooo sasa kama Diva ukisikia saut yake lazima uvutie pichaa anafananaje diku ukimuona weeee utashangaaaaa
Acha kabsa kama zamarad na babra hasan
Saut zao aiseee unaweza sema wameshushwa
juu Sasa waone unaweza dhan co wao
 
Acha kabsa kama zamarad na babra hasan
Saut zao aiseee unaweza sema wameshushwa
juu Sasa waone unaweza dhan co wao
Ila Millad ana saut nzur na yy mzur sijui kama ana kasoro yeyoteee lakini John Maratuuu hahhahhha anafanana na sauti yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mm bado nimelala hapa maana jana nilichoka na majukumu ya kujenga kiwanda cha cherehan kuongeza mapato ya taifa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Haa haa haa Pole me nmefka kiwandan
Kitambo na npo hapa napambana
Na cherehan yang aiseee nione kama
Jion ntakutoa aut ya kiwiz wiz[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hujui shemej yako amenifungia radaaa popote ninapopitaaa ananiona kwenye kioo chakeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hafu mwenyewe utakuta unasura ka tako la dreva wa semi trela za kwenda kongo + Vigimbi kama banio la sufuria (Mpanti)
[emoji41] [emoji41] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hujui shemej yako amenifungia radaaa popote ninapopitaaa ananiona kwenye kioo chakeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseee hyo yake n ngumu
Angekua ameweka CCTV
Wala waya tu ningekata
 
Ila Millad ana saut nzur na yy mzur sijui kama ana kasoro yeyoteee lakini John Maratuuu hahhahhha anafanana na sauti yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Haa haa haa watu wanao
Endana na saut zao
Millardayo
B dozen
Mchomvu
Fetty
Dinnamarios

Aiseee Hawa watu n exactly kabsa

Co kina pj,gerad hando aiseee
N balaaaa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseee hyo yake n ngumu
Angekua ameweka CCTV
Wala waya tu ningekata
Rada ni CCTV ya kimataifaa na wewe yakupasa uwe mloz ili uikateeee kwa kutumia ulozi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haa haa haa watu wanao
Endana na saut zao
Millardayo
B dozen
Mchomvu
Fetty
Dinnamarios

Aiseee Hawa watu n exactly kabsa

Co kina pj,gerad hando aiseee
N balaaaa
Mamy baby nayeee hahahahah alivyokaa na saut yake sawaa kabisaaa
 
Rada ni CCTV ya kimataifaa na wewe yakupasa uwe mloz ili uikateeee kwa kutumia ulozi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja nikakodshe mitambo ya
Purtin ile najua haiach ktu

Na nitakubeba juuu juu mpaka
Geto[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…