Kuna mdada nilikutana naye mjini....katika tizama tizama macho yetu yakakutana nami nikaingiwa na haja ya kutongoza. Nikampa demu somo naye akaingia line, siku ya siku tukapanga kukutana sehemu kabla ya kwenda chemba kuwatambulisha dushe na kipochi manyoya wazoeane. Demu kaja, ananuka makwapa kama vile alioga ndoo ya mavi...ile harufu tu iliua hamu yote ya kutaka kugegedana licha ya uzuri wake. Nikamnunulia chakula, ile anaanza kula tu nikaenda chooni...sikurudi tena na line nikaitupa. Sijuwi yaliyomkuta yule demu. Wanawake wanaonuka bwana ni majanga matupu, utaona mwanamke mzuri ila hajipendi na mwanamke akinuka kwapa basi juwa hata ile idara si salama.