Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Naam, hadi awe laini kama unga wa nganoSo huyo ke uliekutana nae site na kumuona yuko njema, hadi kwenda kumuona, lengo ilikuwa ni kumgrind or?
LolMashalaaaaa
Mhhhhh dunia kwishineyNaam, hadi awe laini kama unga wa ngano
[emoji116]Tobaa! [emoji116]Nakuogopa aisee [emoji116] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Hahahaha Demiss umenikumbusha mbali sana,
Mdada mkaliiiii kanicheki site moja hivi niliangalia profile yake yupo njema, baada ya chatting za muda mrefu, siku hiyo akaja kunitafuta tena kwa surprise maana sina hili wala lile ananiambia nipo Victoria kituoni, nikasema poa ngoja nikamfate, uzuri niliamua kwenda mwenyewe ningemuelekeza home sijui ingekuaje walai, daah sikuamini nilichokiona Mungu anisamehe tu, mbaya zaidi wale dreva tax wananitania like nimeopoa sijui nini damn!!
Nikajua why alipendelea kupiga picha nusu huku ma filter kibaoooooo.
Nilimpandisha gari bila kutarajia nikamwambia nina kikao cha familia natakiwa kuhudhuria.
am sorry H.
Naam, hadi awe laini kama unga wa ngano
Dunia haiishi ila watu ndio wanaisha wanakuja wapya jombaaaMhhhhh dunia kwishiney
Huna sababu ya kuniogopa, wadada wazuri sawa lakini nyie hapana.... lol[emoji116]Tobaa! [emoji116]Nakuogopa aisee [emoji116] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Aiseee hv mnapata faida gan kwenyeDunia haiishi ila watu ndio wanaisha wanakuja wapya jombaaa
Ndugu yake na James deosic[emoji116]Tobaa! [emoji116]Nakuogopa aisee [emoji116] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Jikite kwenye mada bro.... hayo mengine tuachie sie.Aiseee hv mnapata faida gan kwenye
Huo mchezo wenu wa - na -
Aaah usifukue makaburi bhana, kaushaaaaa.Mh aisee itabid nifukue makabur yakoo ili nipate jinsia yakooo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116]Tobaa! [emoji116]Nakuogopa aisee [emoji116] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Yenyewe n kweli ya ngosweJikite kwenye mada bro.... hayo mengine tuachie sie.
Haa haa haa au 2 I'dJf na vituko vyakeeeee unaweza taman kubadili id
Kuna makubwa kwenye hayoMh aisee itabid nifukue makabur yakoo ili nipate jinsia yakooo