Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Hahahaha Demiss umenikumbusha mbali sana,

Mdada mkaliiiii kanicheki site moja hivi niliangalia profile yake yupo njema, baada ya chatting za muda mrefu, siku hiyo akaja kunitafuta tena kwa surprise maana sina hili wala lile ananiambia nipo Victoria kituoni, nikasema poa ngoja nikamfate, uzuri niliamua kwenda mwenyewe ningemuelekeza home sijui ingekuaje walai, daah sikuamini nilichokiona Mungu anisamehe tu, mbaya zaidi wale dreva tax wananitania like nimeopoa sijui nini damn!!

Nikajua why alipendelea kupiga picha nusu huku ma filter kibaoooooo.

Nilimpandisha gari bila kutarajia nikamwambia nina kikao cha familia natakiwa kuhudhuria.

am sorry H.
[emoji116]Tobaa! [emoji116]Nakuogopa aisee [emoji116] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Naam, hadi awe laini kama unga wa ngano
 
[emoji116]Tobaa! [emoji116]Nakuogopa aisee [emoji116] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Huna sababu ya kuniogopa, wadada wazuri sawa lakini nyie hapana.... lol
 
[emoji116]Tobaa! [emoji116]Nakuogopa aisee [emoji116] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Ndugu yake na James deosic
 
[emoji116]Tobaa! [emoji116]Nakuogopa aisee [emoji116] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
So huyo ke uliekutana nae site na kumuona yuko njema, hadi kwenda kumuona, lengo ilikuwa ni kumgrind or?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unauliza swali google
 
Back
Top Bottom