Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Mara nyingine akija nishtue, grinding ain't fair[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Hahahaha grinding is fair for fair people... lol

Aah sasa hivi nimetulia sitaki kabisa michepuko.
 
Hua naona ni roho ya ukatili sana kumkimbia mtu aliye drive miles just to see you....
Hata kama hajakidhi vigezo ni vema msilale wote lakini mpokee na usioneshe tofauti yeyote.

Halafu me sijua hua nikoje yaani hua siwezi kujificha eti nimuone mtu kwanza sijui nini, naenda mzima mzima coz najiamini na pia hata kama nikimkuta yupoje still siwezi kumuacha pale, tutaongea na kufurahi na kuagana kwa amani.

Kitu siwezi kustand ni kumeet na mtu asiyejua kuongea, aibu nyingi, mara kashika simu anachat chat, kila kitu "nakusikiliza wewe tu" damn! hata awe kifaa vipi bado nitamuacha tu.
 
Safi sana,yote tisa nasubiri ile ya Mabibo ulivyoachwa solemba na MSHANA JR ulipokuja akiwa na demu mwingine akakuzimia simu huku umesimama nje ya gari yake huku tunakuangalia tukiwa bar
 
dah aisee[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
wanakukimbiaje mtoto unaonekana mzuri kabisa wewe.......ndio ugonjwa wangu huu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Safi sana,yote tisa nasubiri ile ya Mabibo ulivyoachwa solemba na MSHANA JR ulipokuja akiwa na demu mwingine akakuzimia simu huku umesimama nje ya gari yake huku tunakuangalia tukiwa bar
Ila wewe shemeji una mambo kwann unapenda kuniumiza moyo wangu jaman[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Wewe ni jinsia gani? Samahani lakin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…