Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo sawaSio Mimi bwana
mimi sijawahi kucheza hiyo michezo unayocheza wewe shemeji[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hapana thubutu?
Eeeh!Shemale [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
kweli hapo experience 'BASHITE'Muongoo wewe shemej sema ukweli
Umeongea KWELIHua naona ni roho ya ukatili sana kumkimbia mtu aliye drive miles just to see you....
Hata kama hajakidhi vigezo ni vema msilale wote lakini mpokee na usioneshe tofauti yeyote.
Halafu me sijua hua nikoje yaani hua siwezi kujificha eti nimuone mtu kwanza sijui nini, naenda mzima mzima coz najiamini na pia hata kama nikimkuta yupoje still siwezi kumuacha pale, tutaongea na kufurahi na kuagana kwa amani.
Kitu siwezi kustand ni kumeet na mtu asiyejua kuongea, aibu nyingi, mara kashika simu anachat chat, kila kitu "nakusikiliza wewe tu" damn! hata awe kifaa vipi bado nitamuacha tu.
Amini tu shemeji[emoji16][emoji16][emoji16]siamin
Haya shemeji......next time nikija dodoma usinikimbie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitaanzaje kuamin na wakat ubongo unao ww
Nitaanzaje kuamin na wakat ubongo unao ww