Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]leo nina furahaaa jaman mweeeh
Hiyo furaha bila shaka umepona heelspur [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hongera kwa kufurahi
 
Hiyo furaha bila shaka umepona heelspur [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hongera kwa kufurahi
Sjachomwa sindano leo mpaka J3 nilikosa raha nikisikia muda wa sindano leo nina bahat sjachomwa sindano ya mguu inaumaaa hiyo balaaaaa
 
Sjachomwa sindano leo mpaka J3 nilikosa raha nikisikia muda wa sindano leo nina bahat sjachomwa sindano ya mguu inaumaaa hiyo balaaaaa
Haaaa haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mrs Mshana
 
Kweli.kabisaaa nina usingiz leo lakin nilimiss jf jaman ukiwa mgonjwa macho yanakuwa hayana nguvu kusomaaa
Pole sana ila jana yenyewe jf ndiyo ili tumiss sana , usiku mwema lala unono
 
Pole sana ila jana yenyewe jf ndiyo ili tumiss sana , usiku mwema lala unono
Bado kidogo nazurula najikaza hatar sema kumepoaaaa eeeh sjakuta zile mada za amsha amshaaa sjui kwann?
 
Mi sikukimbii ila baada ya kuonana ntakupotezea. Kila ukipiga simu niko busy. Na nakujibu dry dry tu mpaka utakaa sawa. Kuna watu unakutana nao unagundua hawafai hata kuwa marafiki. Sasa watu wa hivyo wanajua kuganda hao.
Duh!
 
Mim kuna mtu alikoseaga namba ikaja kwangu kupokea sauti nzuriii mweee ,tukawa tunaongea tu ,tunawasiliana tu nikawa namuwazia atakuwa bonge la handsomee ,,siku naenda kuonana naee kidogo nizimieee limtu kama Li lemutuz halaf mi kadogoo nikamsalimia shikamooo baba ,wakati kwenye simu nilikuaga simsalimiii ,nikamuambia nimepita tu tutaonana baadaee [emoji23][emoji23],,nikivyotoka hapooo nilibadili na laini na ya simu maana kidogo nizimiee
Njoo kwangu mi ni KIPOTABO
 
Back
Top Bottom