Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Hua naona ni roho ya ukatili sana kumkimbia mtu aliye drive miles just to see you....
Hata kama hajakidhi vigezo ni vema msilale wote lakini mpokee na usioneshe tofauti yeyote.

Halafu me sijua hua nikoje yaani hua siwezi kujificha eti nimuone mtu kwanza sijui nini, naenda mzima mzima coz najiamini na pia hata kama nikimkuta yupoje still siwezi kumuacha pale, tutaongea na kufurahi na kuagana kwa amani.

Kitu siwezi kustand ni kumeet na mtu asiyejua kuongea, aibu nyingi, mara kashika simu anachat chat, kila kitu "nakusikiliza wewe tu" damn! hata awe kifaa vipi bado nitamuacha tu.
Umeongea KWELI
 
Back
Top Bottom