Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Nimeshamzoeaaa sijawahi kuona sehemu kanijibu vizuri huwa ananipa tusi anapita mbeleee na mm wala huwa sishoboki popote alipo ila sasa kwangu looooh huwa nakomaaa mpaka nasema nilimkosea nn mchaga huyuuuu
Hahaaaa. Ni mwanzo tu huo.

Ila ukimzowea walaa hayo matusi hutayaona tena. Kwangu ni rafiki mzuri huyo Demiss.
 
We mtu kaja na mfuko wa rambo unafikiri kilichotomea nini?
Ile msavu ina mambo acha tu
Msamvu Morogoro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ulikuwa unakaaa kihonda au nanenane?
 
Nilikuwa nakuacha tu ujiachie unavyowezaa lakin duh huwa najiulizaa nn sababu ya wee kunitus
Sijui nilikutusi wap, na hata ikitokea hvyo huwa nasahau na naendelea na mengine.

Kiufupi sikumbuki ni wapi, na ilikuwa ni mada gani.
Mi huwa nachangia na kusepa, nikikutukana jua Regency hazitembeii.

Angalizo: Nayofanya humu ni tofauti na nilivyo [emoji23][emoji23][emoji23], wengine wajanja humu kwenye keyboard, nje ya hapa huwezi sikia tusi mdomon kwangu.

Hvyoo tu
 
Kiukweli nilikuwa nakuchukia kabisaaa huwez kuamin na mm mtu anayenitukana kwenye sehemu ambayo sjafanya kitu kibaya na akarudia mara nyingi huwa namfungia viooo kabisa kuanzia kwenye nyuzi zakeee mpaka comment zake mmojawapo ni wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…