Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Ndo hapo sasa unamkuta binti yuko so decent hadi unaona haya kutangaza srea na ilani ya moyo wako siku ya mtoko wa kwanza..kinywaji ataagiza mirinda nyeusi ila siku atakapoenda kibla maweeee...pango la Amboni,mileage zinasoma Zimbabwe jiulize sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo mambo hayawezi kututokea sie tunaotokea laivu laivu.sasa namba kanipa mwenyewe in person tunaanzaje kukimbiana?,kazi kwenyu madomo zege na wavulia gizani,imagine mtu mzima unafungia safari papuchi mkoa to mkoa na demu
mwenyewe hujawahi hata kumwona,niggas be too desperate.
 
Kwani nani huwa anajiona mbaya ,,hata huyo alieblockiwa nae kuna mtu kamblock pia
Na kumkimbia mtu sio kwamba wewe eti ni mrembo au hb hapana kabisaa
Kuna siku wanaume walileta uzi wa hivi weeeeee utafikiri waliokoment mle ni kina wiliam levy au yule kaka Majid
Ni asili ya binadam
Kweli kabisaaaa
 
Wengi huwa wanahitaji upendo tu hakuna kingine anatamani uwe nae karibu ndicho nilichofanyaa basii wengine nadhani ni wapweke
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom