Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kubali upo cheap
Hata kama ni jukwaa Gani
Lakini ki uhalisia upo hivyo
Mwanamke aliyefundwa kwao akafundika
Hawez kuwa cheap hivyo.yaani mtu humjuh hata kuonana naye ujawahi anakutongoza Na unamkubalia
Duh inamaana angekuwa kakizi mngedate
Mkuu this life is too short humu mitandaoni ni sehemu watu wanakutana na kifahamiana na mara baada ya kufahamiana hilo la kutongozana linaweza kutokea.

Mtu kukubali haimaanishi kuwa Yuko such cheap.

Usi condemn kiasi hicho.
 
Yap tena pale Mwenge ilipo ile Tarakea Restaurant ambapo nakumbuka nilimtongoza Demu mmoja kutoka FB baada ya kuvutiwa nae katika Picha yake kisha tukapena mawasiliano huku nikimtongoza. Tukakubaliana kuwa eneo sahihi la kukutana liwe hapo Mwenge na nakumbuka kipindi hicho Kituo cha Mabasi kilikuwa bado kipo hapo hivyo kuwa rahisi Kwetu Kiusafiri.

Nikiwa kabisa katika bashasha na mshawasho wa Kukutana na Demu niliyemtunuku / niliyempenda mara nikaona anatokea Mwanamke ambaye kwa ule Weusi wake ' uliomtukuka ' sidhani hata kama Usiku ningekuwa nalala nae ningekuwa ninamuona Kiurahisi halafu alikuwa ni Mnene mno kiasi kwamba nikawa nawaza wakati nambandua / namngono kwa unene ule angenipa Kazi kubwa sana ya Mimi kuanza kuitafuta ' Mbunye ' yake ilipo na Kuuchomeka ' Mkuyenge ' wangu wote na uzame kisawasawa ' Kunako ' na ausikie hadi Kichogoni mwake na nilikuwa naogopa pia kwamba kama ningekuwa nafanya nae Mapenzi Kitandani halafu namwomba anikalie juu ( anyonge Baiskeli ) bali kwa ule ' Uzito ' wake leo hii ' Mkuyenge ' wangu ungeshakuwa Marehemu kama siyo Hayati.

Baada ya kugundua kuwa mwenye namba na niliyekuwa nawasiliana nae FB ni Yeye ila aliamua tu kutumia Picha za Watu wengine kama kawaida yangu huwa simcheleweshi Mtu na sinaga ' Unafiki ' halafu mshipa wangu wa aibu ulishakatwa zamani sana Agha Khan Hospital Wodi ya Uzazi ' miongo ' mitatu na nusu iliyopita hivyo pale pale nikampigia Simu na kumwambia kuwa tangia nizaliwe sikuwahi kukutana na Mwanamke ' mbaya ' kama Yeye hivyo simtaki na aifute namba yangu pale pale na kilichofuata nilijibiwa kwa bonge la ' Tusi ' na ' Msonyo ' mrefu ambao kama ningeupima kwa Kamba basi ungetoka Dar mpaka Kigoma na pale pale nikazima Simu yangu na kutafuta line mpya ya Simu na nakumbuka Kipindi hiko kulikuwa na Kampuni ya Simu ya Celtel ambayo nilikuwa nikiitumia.

Ni hayo tu Dada yangu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji102]

Mkuu una dhambi wewe ukaamua kumfungukia kabisaa loooh
 
Mkuu this life is too short humu mitandaoni ni sehemu watu wanakutana na kifahamiana na mara baada ya kufahamiana hilo la kutongozana linaweza kutokea.

Mtu kukubali haimaanishi kuwa Yuko such cheap.

Usi condemn kiasi hicho.
Duh
 
Mtani tukutane trh 29 mwezi huu....

Ila ukioniona usije nikimbia na ukibahatika kuniona chonde chonde naomba usije kunifungulia uzi humu ndani......

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaaa. Ntakutafuta mtani.

Mie sina hizo mambo Mtani. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwaka huu mwanzon kuna kaka nilikua nachat nae fb! Me nipo mkoani ye yupo dar, akawa ananitumia picha zake nami namtumia zangu! mara paap kanitumia nauli niende dar nikamtembeleee, siku hiyo saa kum na mbili asbh kwenye upendo mtt wa kike safarini daslaam, bahat nzur me nilimtangulia kufika ubungo, kufika nje kuna mtu nikawa nasalmiana nae, mara nikamuona mkaka kaweka cm sikion huku anaangaza angaza, kucheki cm yng inaita nikajua ananitafuta mimi. jaman alkua tofaut na kwenye zile picha zake, mfupiii, yupo yupo tu (Mungu anisamehe) niliishiwa pozi , bac akaja tukasaimiana. ikabd nitafute sababu pale pale nikamwambia kuna mizigo nmeagiziwa na bi mkubwa nimpelee dogo udsm then ntakushtua nikshamalzana nae. Alikula block koote, kesho yake nikageuza zng kurud nilikotoka
Aiseee ulipata hasara ya nauli ya kurudia mkoani haya mambo yasikie tu kwa jirani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom