Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Sio kazi nyepesi kugongana macho na mtu ukakausha
Yataka moyo kama una kicheko cha karibu kama mm wewe unaumbukaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wasaaaam!

Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume.

Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na vituko .

1.Huyu alikuwa mwanaume aliyekosea namba tukawa tunawasiliana zaid ya mwaka mmoja bila kuonana maana yeye alisema hana account facebook wala hayupo whatsap.
Basi alishiaa kuniambia tu sifa zake jinsi alivyo kwenye simu kuwa mweusi mrefu wastani na nguo anazopendelea kuvaaa akimaniisha hapo tayar nitahisi anafanana vipi .Aiseeh nilimwambia unafanana na Joh Makini akasema ndiyo .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Na mm bila kukaaa nyuma nikamweleza sifa zangu yani muonekano wangu jinsi nilivyo kama Black chocolate ,mrefu alafu mwili wa wastani nina chura chokozi na ninapenda kusukaaa macho ya mviringo kama gololi.
Hapo mwanaume akavuta picha nafanana kama Alicia keys.

Balaa sasa siku ya kuonana nakumbuka nilikuwa nimeenda Jitegee sekondary kuchukua uhamisho wa Mdogo wangu basi kwa sababu yule mkaka alisema anafanya kazi Mitaa ya Uhasibu nikasema leo ndo siku ya kuonana maana kipindi tunawasiliana mm nilikuwa mkoan Morogoro hivyo nilikuja Dar kwa masuala ya uhamisho wa mdogo wangu.

Basi baada ya kumaliza issue zangu nikaenda kukaaa pale kituo cha uhasibu kwa ajili ya kusubiri gari za Mbagala huku nawasiliana na yule mkaka aje tuonane .

Uwiiiii nilikuwa nimekaa kwa machale najua mnaelewa mchezo wa kuviziana na mtu usiyemjuaaa inavyokuwaaa ni balaaaaa akipig simu unachelewaa kupokeaaa unaangalia nan anayekupigia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Uwiii ghafla vuuup namuona mkaka anakuja amevaa likaptulaaa kubwaaa halimtoshi alafu kachomekea na Tshirt jaman chini kavaaa mabuti ni anatishaa jaman uwiiiii(Mnisamehe Demiss napenda mahanshaamy mnanijua lakini)

Mkaka alikuwa anatisha uuuuuuh nisingeweza kumvumilia kwa kweli nilitoka nduki nikaingia kwenye DCM zile zilizokuwa zinaenda Mbagala Rangi 3 na Mbagala kuuu.

Kituko sasa badala ya kupanda Gari za Kwenda Mbagala Rangi 3 nikajikuta nimefika Mbagala kuu hapo simu nimeizima kabisaa
Nilivyofungua sm nilikutana tu na sms za kwann nimemkimbia mm wala sikujibu nikapotezea.

2.Sharobaro mwembamba
Katika maisha hakuna kitu sikipendi kama wanaume wembamba alafu warefuu .
Huyu mkaka sharo nakumbuka sjui alikosea namba na yeye alikuwa anakaa Kimara suka huko tukawa tunawasiliana .

Baadae akawa amenitumia nauli nitoke Moro niende Dar nikasema niende kuonana na mtu simjui wala siwezi nikikutana anafanana kama kibwengo nitafanyaje sitak aiseeee ikabidi ile nauli iishie kwenye mitumba ya Sabasaba sokoni watu wa Moro mnaelewaa shughuli ya Sabasaba.

Basi yule mkaka akaona isiwe tabu ngoja aje mwenyewe mpaka Morogoro aje tuonane.
Siku hiyo nikaenda kukaaa pale Vijana social hall ipo maeneo ya sabasaba ila nilikaa pembeni yake nikawa nampa Direction huyo mkaka aje mpaka Geti la vijana social.

Jaman alivyofika ni mwembamba mrefuu alafu kavulana kadogo kiukweli mm nisingeweza nilivyojiridhisha ni yeye nikazima simu alafu nikapita pale pale alipokuwa amesimama nikaenda zangu kuchukua bodaboda nikasepa zangu Home.(Uwiiii kaka unisamehe nisingeweza)

Ila jaman haya yalikuwa maisha ya kupita tu na ilikuwa ni lazima itokeee hivyo msinilaumu sana.

Bila kusahau kuna member moja wa hapa Jamiiforum nilishawahi kumkimbiaaa jamn sikutegemea kama ningemkuta hivyo nilitoka ndukiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nusu nivunje milonjoo kwa sababu alinitumia picha siyo zake siku namuona weeeee nilikimbiaaa Mwendo kama Chopa za Urusi.

Mrs Jr chamdeko.
Mrs J unajua sio poa ulivyonifanyia? Anyway, nishakusamehe siku nyingi sana.
 
Uongo.Story yoyote ile ambayo ndani yake kuna " mdogo wangu" au " Ghafla" huwa ni ya kutunga..I put one hundred percent in every word that I have typed
 
Yataka moyo kama una kicheko cha karibu kama mm wewe unaumbukaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siwezi yani lazima ningetabasam hata kinafki nikampokea hafu ndo nipotezee kiaina
 
Mambo ndivyo huwa namna hii
FB_IMG_15239656958174707.jpg
 
Hii kitu sijawahi kukimbiwa ni soo, mademu wapo kibao mtaani ujinga kwenda kuanza kukimbizana na watu ambao hujawah kuonana nae
 
Dah!kuna jamaa yangu alipewa tu stori na jamaa yake kwamba kuna bonge la demu,jamaa kusikia hivyo akaomba namba za huyo demu,akamtongoza demu akaingia line,vuta nikuvute jamaa akapanga root ya kwenda kukutana naye maana manzi mwenyewe alikuwa na rafudhi ya kichaga hatari sana,ilikuwa ni jumapili ya pasaka tarehe April 1 mwaka huu huu,akaniambia anaenda kuonana naye alichokikuta huko anakijua mwenyewe,kwanza demu bonge,tumbo kubwa,matiti hayoooo bahati mbaya tena mweusi harafu kama mjuavyo wenzetu kaskazini walipigwa pasi huko nyuma,jamaa yangu alitoka ndukiiiii,saa nne usiku ananiambia yupo around,ila yeye walikutana kabisa wakaongea ongea then akamwambia ngoja nichukue vocha akachoraaaaa.
 
kuviziana sitaakaa nisahau kuna siku nili mkimbia demu sio demu m mama kabisa, aiisee kuna watu hutakiwi kuwaamini ukiongea nao kwenye simu. tulichati sana kipindi hicho sijui cha whatsapp wala fb. sasa tukaawa tunapanga tuonane na alivyo niambia yuko chuo nikajua huyu atakuwa kisuuu mamaaaaaa🙁🙁🙁🙁 tukapanga tukutane then tujuane na mambo mengine yatafuata kumbe manzi amekuja eneo la tukio ameka amesha ni chora nilikuwa na washakaji nikipiga hapokei ila anasema yuko karibu. manzi mjinga sana yule akajisogeza karibu na sisi ili asikie maongezi yetu, sasa jamaa yangu akasema mbona huyo manzi yako hatokei usije kuta anasura kama mfuniko wa choo tukacheka tuka ponda tukaona isiwe kesi ngoja tuagize bia kunywa bia tukaagiza na nyamaa kula nyama sana sasa machale yakanicheza baada kuona manzi ananiangalia sana na nilivyo mtext kimya kimya kama mara mbili nikaona ameshika simu siku mfata kwa umbo lile na sura hapana kwakwel ingekuwa ni aibu sana ikabidi nimwambie jamaa maana alikuwa kauzu kidogo akaenda akaongea nae demu akasepa,

jamaa akamwambia yule ni kama mwanao mama huoni unabaka, manzi akasema hakujua hadi leo
 
Wasalaaam!

Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume.

Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na vituko .

1.Huyu alikuwa mwanaume aliyekosea namba tukawa tunawasiliana zaid ya mwaka mmoja bila kuonana maana yeye alisema hana account facebook wala hayupo whatsap.
Basi alishiaa kuniambia tu sifa zake jinsi alivyo kwenye simu kuwa mweusi mrefu wastani na nguo anazopendelea kuvaaa akimaniisha hapo tayar nitahisi anafanana vipi .Aiseeh nilimwambia unafanana na Joh Makini akasema ndiyo .[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Na mm bila kukaaa nyuma nikamweleza sifa zangu yani muonekano wangu jinsi nilivyo kama Black chocolate ,mrefu alafu mwili wa wastani nina chura chokozi na ninapenda kusukaaa macho ya mviringo kama gololi.
Hapo mwanaume akavuta picha nafanana kama Alicia keys.

Balaa sasa siku ya kuonana nakumbuka nilikuwa nimeenda Jitegee sekondary kuchukua uhamisho wa Mdogo wangu basi kwa sababu yule mkaka alisema anafanya kazi Mitaa ya Uhasibu nikasema leo ndo siku ya kuonana maana kipindi tunawasiliana mm nilikuwa mkoan Morogoro hivyo nilikuja Dar kwa masuala ya uhamisho wa mdogo wangu.

Basi baada ya kumaliza issue zangu nikaenda kukaaa pale kituo cha uhasibu kwa ajili ya kusubiri gari za Mbagala huku nawasiliana na yule mkaka aje tuonane .

Uwiiiii nilikuwa nimekaa kwa machale najua mnaelewa mchezo wa kuviziana na mtu usiyemjuaaa inavyokuwaaa ni balaaaaa akipig simu unachelewaa kupokeaaa unaangalia nan anayekupigia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Uwiii ghafla vuuup namuona mkaka anakuja amevaa likaptulaaa kubwaaa halimtoshi alafu kachomekea na Tshirt jaman chini kavaaa mabuti ni anatishaa jaman uwiiiii(Mnisamehe Demiss napenda mahanshaamy mnanijua lakini)

Mkaka alikuwa anatisha uuuuuuh nisingeweza kumvumilia kwa kweli nilitoka nduki nikaingia kwenye DCM zile zilizokuwa zinaenda Mbagala Rangi 3 na Mbagala kuuu.

Kituko sasa badala ya kupanda Gari za Kwenda Mbagala Rangi 3 nikajikuta nimefika Mbagala kuu hapo simu nimeizima kabisaa
Nilivyofungua sm nilikutana tu na sms za kwann nimemkimbia mm wala sikujibu nikapotezea.

2.Sharobaro mwembamba
Katika maisha hakuna kitu sikipendi kama wanaume wembamba alafu warefuu .
Huyu mkaka sharo nakumbuka sjui alikosea namba na yeye alikuwa anakaa Kimara suka huko tukawa tunawasiliana .

Baadae akawa amenitumia nauli nitoke Moro niende Dar nikasema niende kuonana na mtu simjui wala siwezi nikikutana anafanana kama kibwengo nitafanyaje sitak aiseeee ikabidi ile nauli iishie kwenye mitumba ya Sabasaba sokoni watu wa Moro mnaelewaa shughuli ya Sabasaba.

Basi yule mkaka akaona isiwe tabu ngoja aje mwenyewe mpaka Morogoro aje tuonane.
Siku hiyo nikaenda kukaaa pale Vijana social hall ipo maeneo ya sabasaba ila nilikaa pembeni yake nikawa nampa Direction huyo mkaka aje mpaka Geti la vijana social.

Jaman alivyofika ni mwembamba mrefuu alafu kavulana kadogo kiukweli mm nisingeweza nilivyojiridhisha ni yeye nikazima simu alafu nikapita pale pale alipokuwa amesimama nikaenda zangu kuchukua bodaboda nikasepa zangu Home.(Uwiiii kaka unisamehe nisingeweza)

Ila jaman haya yalikuwa maisha ya kupita tu na ilikuwa ni lazima itokeee hivyo msinilaumu sana.

Bila kusahau kuna member moja wa hapa Jamiiforum nilishawahi kumkimbiaaa jamn sikutegemea kama ningemkuta hivyo nilitoka ndukiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nusu nivunje milonjoo kwa sababu alinitumia picha siyo zake siku namuona weeeee nilikimbiaaa Mwendo kama Chopa za Urusi.

Mrs Jr chamdeko.
Mambo vp
 
Hayo mambo hayawezi kututokea sie tunaotokea laivu laivu.sasa namba kanipa mwenyewe in person tunaanzaje kukimbiana?,kazi kwenyu madomo zege na wavulia gizani,imagine mtu mzima unafungia safari papuchi mkoa to mkoa na demu
mwenyewe hujawahi hata kumwona,niggas be too desperate.
Mkuu vipi,upo?
 
Niliwai kukimbiwa, maamae niliumia sana

Kila nikijitaid kuandika mkasa naona vidole vinakufa ganzi, yan sikukimbiwa nilifanyiwa unyama wa hisia
Poleee sna mkuu inauma sna
 
Back
Top Bottom